Mi lazima nilipwe navyojituma hii weekβΊοΈInasemekana walinzi mwisho wa mwezi huu hamtolipwa
Labda utumie ubani kunuiaMi lazima nilipwe navyojituma hii weekβΊοΈ
Binti mrembo karibu lindoni.. ulipotelea wapi?Daaaa!
Nitamroga boss ertugrul mpaka anilipe stahiki yanguπLabda utumie ubani kunuia
Nilipoteza simu dearBinti mrembo karibu lindoni.. ulipotelea wapi?
Oh pole sana jamani, sasa hivi usharejesha nyingine usitukimbie sasaNilipoteza simu dear
Nipe location nije na private jet yangu!Ni muda sasa wa kufanya kazi ya usiku gizani kwa umakini mkubwa pasina kukosea
Mzandiki aliyekua wa kwanza kuvumbua huu usafiri alikufa pasina kupanda planeNipe location nije na private jet yangu!View attachment 3701223
Alizingua sana!Mzandiki aliyekua wa kwanza kuvumbua huu usafiri alikufa pasina kupanda plane
Niko hapa now dear πOh pole sana jamani, sasa hivi usharejesha nyingine usitukimbie sasa
Karibu beibeeNiko hapa now dear π
Sawa tumekusikia!
Sawa tumekusikia!