Kama kawa03:19...tupo live[emoji111]
Huko kwenu mpo nyuma ya mudaπ02:20
Kama dawaaπKama kawa
Naam Madam. Mmetutangulia kidogo.Huko kwenu mpo nyuma ya mudaπ
Hivi punde nami nitakukimbia.Eeh ila naona Dhul nae kapoteaππ
Aisee kwaivo nitabaki doro?... Haiwezekan namie nitakimbia tuu, ila atakuja mwengine kushikilia kamba hadi muda wa morning gloryπππHivi punde nami nitakukimbia.
Hahahahaha!. Hivyo utaamka muda wa morning Glory? π€£π€£π€£π€£Usiache lindo wazi. Hakikisha umemkamatisha mtuAisee kwaivo nitabaki doro?... Haiwezekan namie nitakimbia tuu, ila atakuja mwengine kushikilia kamba hadi muda wa morning gloryπππ
Mnhh nishakukamatisha mie sitaki kesiπππHahahahaha!. Hivyo utaamka muda wa morning Glory? π€£π€£π€£π€£Usiache lindo wazi. Hakikisha umemkamatisha mtu
Hahahaha!. Mimi mkubwa wako. Tangu lini Junior ukamkamatisha senior?Mnhh nishakukamatisha mie sitaki kesiπππ
We umejuajeπππ sawa bhnHahahaha!. Mimi mkubwa wako. Tangu lini Junior ukamkamatisha senior?
Tulizana. Subiri wa kumkamatisha.
Tulia dogo.We umejuajeπππ
Na mmnvviiii zote hz bado ni dogo aseeh ππ sawa seniorTulia dogo.
Mvi za urithi hazina sauti mbele ya nywele nyeusi za kikongwe.Na mmnvviiii zote hz bado ni dogo aseeh ππ sawa senior
may i know you, umepajuaje fokoπFokolandππππ
Sawa grandpa! πππMvi za urithi hazina sauti mbele ya nywele nyeusi za kikongwe.