JamiiForums Usiku wa manane

Mi nataka kuacha Kaz utanilisha ipasavyo?
Sio shida kama una nipatia mambo moto moto, ushauri, ushirikiano, unanituliza stress za vichwa vyote viwili, na kunifanya nipige hatua zaidi.
Ule wimbo wa Zuchu wa fire ameongelea vizuri: Namnyonyesha, namlaza mapajani,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila hizo ni mbwembwe but something like that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…