JamiiForums Usiku wa manane

Endelea Mama nakusikiliza ,na sauti yako nyororo
 
My house is your house [emoji445]
Hips don't lie ni wimbo wa Shakira [emoji445]
Bora utuburudishe walinzi
 
Halafu ningekupa punch za uso ungetulia
Kama hauna face mask hauezi elewa kwann inakua hv
Ha ha! Wasema tu ila itakuwia vigumu kushindana na mtu anaeweza cheza na tabia!!
Mibilingito miwili tu tayari tunda la kati ningelitafuna kama mkate mbele ya chaiπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…