JamiiForums Users Music Award..

Tuanze na sisi wakuu

Tunafanya vipi hili suala?

Katika kumbukumbu za
waanzilishi
majina yenu yatakua mbele
kabisa

@Mods support yenu ikiwezekana tunashukuru
Good idea japo uteam unaweza kua ni changamoto kubwa sana!! Lakin pia kuna wale wenye mizaha isiyokua na msingi nao hawatakosa kujitokeza

Tatizo linakuja kwa wale wenye multiple IDs kupiga kura

sawaa naunga mkono

Ni nzuri sana hiyo zawadi.

Naweza pata fursa kwa mara ya kwanza kupigia kura kazi ya sanaa. Wazo zuri

Aseeeh...Good idea

Naunga mkono hoja
Ila ngeomba kama ingewezekana wale wasioshirik yan wasiopenda mzik wakapgwa ban

kutochangia huo uz
Maana wataletw story zao
Za wanaa? Na mwisho wa
Sku kuharbu uz

Shida n kuwatabua


Wanakuja mkuu

Kweli mkuu

Ni wazo zuri Benny.

Kwa hiyo hapatakuwa na zawadi wala tuzo yoyote? Ni kupiga kura tu na kuorodhesha majina?

Wazo zuri sana lkn tatizo litakuja kwny hizi timu maana wengine watakuwa wanapiga kura kukomoana
 
Reactions: Oxx
Sasa mkuu tutapiga kura kwa category zipi?
 
Sasa mkuu tutapiga kura kwa category zipi?
Kwanza kabisa tutengeneze categories (labda tuanze na chache sana ili tumudu)

Pili tupendekeze washiriki wasiozidi watano kwenye kila categories

Tatu tupige kura kuchagua aliye bora zaidi kwa kila category

Mwisho kutangaza aliyeshinda
 
Hizo tuzo pia ziguse wadau wengine wa muziki kama Producers and video directors
 
1. Msanii Bora wa Kiume
2. Msanii Bora wa Kike
3. Nyimbo Bora ya Mwaka
4. Group Bora la Mwaka
5. Collaboration Bora yA Mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…