JamiiForums special track

aya chorus sasa heheheh

Jamani jei efuu hiiiiiiiiiiiii nhaaa
jamani jei efuuu hiiiiiiiiii nhaaa
pambalamba mbamba ngingu nhaaaa
 
thanks kwa kuianzisha jamii forum bro max melo/kupitia hapa najifunza kwa mb 8 za jero/lengo lilikuwa kutukutanisha ma great thinker/siku hizi jamvin had vilaza wamechanganyika/kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo tutafika/wapo great thinker wasoweza think nje ya box/gwijmim usije sema nimemtaja faiza foxy/waeshimiwa kupitia hapa tunawapa changamoto/Maana tukiandamana tunapewa mkon'goto/jamii forum ni chuo cha stadi za maisha/nenda jukwaa la mapenzi,ujasiria mali kama unabisha
 
Napenda mataako,
yaliyo mnato,
yananipa joto,
jf kuna mashostito,
hawana mvuto,
sura ,zao nzito,
kama mrisho mpoto....Hahaha mtaibaaa
ma2mbo unatisha
pisha nami nashusha
kisha naita pusha
alete cha arusha
nasaga, nanyonga
na stim napandisha... mjani
na-dis poda
Bifu kwa kaka Voda....
 
ahahahahahahhhhh uwiiiiii
baibui la faiza...... idumu JF

 
Last edited by a moderator:
Piga keleleeeeeeeee.......... oyo oyo
Jeiiii......efuuuuu
Wapi Invisible and max


 
Last edited by a moderator:
Mi naomba nisimamie maandalizi ya show na mapato yote tu
 
@TZ boy nawakilisha Hip Hop jamii forum

sio wa @Mlandege me ni @mtengwa kijenge natuma salam

@milioni milioni hazinipigi chenga muulize @gwandumi

niite meek kama @millz nilivyo juu kiuchumi

@Muuza Sura mgumu kama @Gang Chomba

@dunia tunapita so usitumie ndumba
 
JF Yafariji, Vile Vile Yafundisha,
JF Burudani, nani atakaebisha?
Tunatoa ya undani, hakika yafurahisha,
Kuziondoa sitressi, JF wanikosha!

Shairi hili kama sio ngonjera
 
Kila nikivuta ganja nawaza kumtoamba Madam B,
Evelyn salt simuachi side B,
mara niota napiga dole Honey Faith.
Stimu zinazidi naomba path,
Toka nimfille Shyland,
namtafta Bush land,
 
Kila nikivuta ganja nawaza kumtoamba Madam B,
Evelyn salt simuachi side B,
mara niota napiga dole Honey Faith.
Stimu zinazidi naomba path,
Toka nimfille Shyland,
namtafta Bush land,
ha ha ha ha ha
Mimi ndio bush land

nawakilisha wachawi wa jf.
 

Ahahahah thanks binamuuu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…