JamiiForums New version (5.0.25) App For iPhone and iPad users

Labda app haijawekwa yet kwenye iPhone, ni Android tu, simu gani ulikua watumia kabla
Mkuu nime-upgrade tu nilikua na iPhone 6, na hiyo app ilikua ipo iStore lakini baada ya kuwa na hii 6s ndio siioni tena
 
Ok naona mme-merge na hii post its fine, lakini mbona hamjatoa jibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…