Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,706
- 149,945
Baada ya member mwenzetu kuibua utata kuhusu uteuzi wa ma -DAS,kuna uwezekano mjadala huu ukashika kasi na kulazimisha wahusika kuchukua hatua ikiwemo kutengua/kufuta ajira hizi iwapo ni kweli teuzi hizi hazijafuata taratibu za utumishi.
Kwa sasa kasoro au makosa ya aina hii huenda yakawa common kama tulivuoshuhudia kwa yule DC ambae iliripotiwa ameteuliwa kimakosa.
Ni mara chache sana watawala wanapotaja mitandao ya kijamii ukasikia wakiitaja JamiiForums ila utasikia facebook, instagram ,whatsaap,n.k, lakini ukweli huu mtandao wa JamiiForums ndio unaongoza kwa mijadala ambayo naamini hata wao husoma mada na mijadala itatokanayo na mada hizo na pengine kuchukua hatua.
Hata hao ambao wamekuwa wakiteuliwa kushika nafasi mbalimbali serikalini baadhi ni member wa mtandao huu ingawa wakishapata vyeo baadhi yao hawaonekani tena humu!
Tusubiri kama kweli kuna makosa,hili jambo naamini haliwezi pita kimyakimya bila hatua stahiki kuchukuliwa au wahusika kutoa ufafanuzi kuelezea usahihi wa ajira hizi.
NB:Baadhi ya nafasi watu huweza kuteuliwa kutoka hata private sector ila ni lazima wawe na sifa zinazotakiwa ikiwa ni pamoja na uzoefu unaotakiwa.