JamiiForums imenipatia mke mwema

Hongera mwaya naona best man anamwangalia mno huyo mdada aliyekaa hapo chini . Mmependezea sana hongera kwa mara nyingine baada ya miaka kadhaa mtakua mnafanana sijui kama kweli lkn manake watu husema watu wakikaa pamoja muda mrefu hufanana hasa wanandoa.
 
duuh kweli kila mtu ana flavor zake aisee! mi huyo wala hanistui kabisaaaaa.
Ndo maana hajawa wakwako....aliyewake ndo kama hivyo katia kitu cha ndoa...acha wivu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…