SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,757
Wadau wa JF nashukuru sana JF kwa kunipatia mke mzuri na anayenipenda kwa dhati na hatimaye tumefunga ndoa takatifu. Please wadada msinitafute tena nimepata mwenzangu wa maisha.
Kweli ukisema Cha nini? wenzio wanasema watakipata lini.............!!!!
mmh!
hongera ila mkeo
huyo ana sura ngumu kama vile mjeda! anyway si mbaya la muhimu
kama ana
pango la kukupunguzia ashki hakuna mbaya.
Tunachangia tu mawazo mkuu......kwa kweli dunia ina mambo........Lol! You made my night..
Pamoja na kuwa the most beautiful wake pia kuna Pesa (mali), mashinikizo na malimbwata humo humo.......huwafanya watu kutumbukia kwenye mambo hayo....Beauty is in the eyes of the beholder kwa kaka
blessings I think huyo ndo the most beautiful
woman in the universe ndo maana kamchagua
Tunachangia tu mawazo mkuu......kwa kweli dunia ina mambo........
Pamoja na kuwa the most
beautiful wake pia kuna Pesa (mali), mashinikizo na malimbwata humo
humo.......huwafanya watu kutumbukia kwenye mambo hayo....
Ndo maana hajawa wakwako....aliyewake ndo kama hivyo katia kitu cha ndoa...acha wivu mkuuduuh kweli kila mtu ana flavor zake aisee! mi huyo wala hanistui kabisaaaaa.
aaah Kaka blessings Mungu kambless kweli......Hata hivyo mi nimefarijika kama huyo dada kapata mume hb kama kaka blessings kumbe one day na mimi nitaolewa pamoja na sura yangu hii.