Jamiiforums gossip and rumours

Nani mwingine ameona kama midekoo ametoka kwenye KIFUNGO
Alikuwa amefungiwa kupost kwenye ule Uzi wa "
Picha za warembo wakali worldwide"
Sasa kaachiwa rasmi ameanza makeke yake kule😁
 
Je wajua Leo kwa mara ya kwanza 12:27 AM Toka mwaka uanze mda huu hakuna mods alie kuwa active kwa sasa jukwaani wote wamelala usingizi 😂😁😁😁😁
 
 
Huu uzi kipengele kingine hiki,maumbea tena aiseee....ina maaana madude ambayo hatuko sure ila tunaongea chini chini tu ilimradi tujofurahishe mioyo yetu.
 
Huyu sweety candy sjui yupoje alisema ame salenda hatopost uzi wa aina yoyote zaidi ya kukoment, kulike na kuwa msomaji nashangaa Sasa Jana kapost thread
Sweetcandy jaribu kuwa na msimamo basi unatuchanganya😏
 
Haya ni mabao yake kabisa sio kwa kufanana huku😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…