JamiiForums' FREE iPad & iPhone/iPod Touch app is now released

Status
Not open for further replies.
hongereni!...
natumai siku moja mtafika kwenye app ya Nokia 3310 ili na sisi wa nkasi tule bata!..

heheheheh!...invisible shkaaaaaoooooo!...

Hahahaha ipo tayari


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Si wa Xperia mtufanyie mpango
 
Jf iko matawi sana. Ni wangapi wana hizo ipad na iphone? Na nokia vipi?
 

Hivi we jamaa kwanini huwa unang'ang'ania kujieleza kwa lugha ambayo inakushinda mwanzo mwisho. Yaani umeshindwa kuandika ''JF releases Ipad and Iphone touch apps for its members,'' badala yake unajikanyaga hadi unaandika vitu visivyosomeka. Ukiulizwa hiyo verb phrase yako ''is now released'' iko kwenye kundi gani la tenses utajibu nini? Halafu hiyo habari yenyewe ndiyo inaweza ikamfanya mtu akaugua kabisa akimaliza kukisoma hicho kiingereza mvurugano.
 

Radhia Sweety mimi sijakuelewa labda nibandikie masasahisho yake yanglikuwaje maana nikisoma sioni kama kuna walakani,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kukosoa ni rahisi lakini kurekebisha ndipo ukweli ulipo/
 
Last edited by a moderator:
Radhia Sweety mimi sijakuelewa labda nibandikie masasahisho yake yanglikuwaje maana nikisoma sioni kama kuna walakani,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kukosoa ni rahisi lakini kurekebisha ndipo ukweli ulipo/

One doesn't need to be a grammar savvy to point out a countless number of glaring syntax flaws in the Invisible's writing. You have asked me to put forth the correction for his group of nauseous fractured English phrases and irritating faulty clauses. Here I go: JF is pleased to announce it has launched the long-awaited iPad and iPhone touch apps. The apps, expected to ease the accessibility of JF to the Forum members, can now be downloaded for free at www.jamiiforums.com. It is our hope that you would find them enjoyable and useful. Should you have any positive or negative feedback, feel free at any time to let us know.
Thank you!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu invisible, nimeiinstall kwenye iphone 3gs ikapiga mzigo fresh, lakini baada ya kuifungua kama mara tano hivi sasa hivi inakataa kufunguka, what is the problem?(Version 4.1)
 
Reactions: Paw
Mkuu Invisible hongera sana aise
Maana inaturahisishia sana mambo aise
Big up mkuu
 
Kazi nzuri sana, JF inazidi kupaa! bado nasubiri application ya hii simu yangu...lol
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…