- Feb 10, 2006
- 4,557
- 16,947
ok.🐒Maccm yatakua yalitaka kuizima
Ndio toka saa moja nadhaniYamefika masaa ma5?🙄
Duhh balaa!Ndio toka saa moja nadhani
Haitasaidia these are the last kicks of a dying horse. Bado tutawazomea tuuu.
We were under ATTACK!Duhh balaa!
Sawa mwanaccmSaa Tano hazijafika
Noma sana.Haitasaidia these are the last kicks of a dying horse. Bado tutawazomea tuuu.
Leo tungetembezewa cosovo😂We were under ATTACK!
Sawa comradeSawa mwanaccm
Hao ni Baby FA na Konda buoy wame-unleash hasira zao kwa kuwa mliwazomea.Kumetokea shida kwenye forum yetu pendwa ilikuwa haiko hewani Kwa takribani masaa matano Sasa je tulishambuliwa? Maana toka zomeazomea ja juzi na hii fault ya Leo nadhani kuna namna jamiiforums ilikuwa under ATTACK hongera technicians team ya jamiiforums.