jamiiforums.com Bot : NAOMBA MSAADA

jamiiforums.com Bot : NAOMBA MSAADA

Prince Nyange

Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
52
Reaction score
6
Wakuu habari zenu?

Kwa wale ambao hamjaijuwa
AdFly - The URL shortener service that pays you! Earn money for every visitor to your links.

Adfly is a URL shortener service that will allow you to make some extra money with links that you have in a website or social network. To be more precise, you get paid to share links on the Internet.
:focus:
Kama nilivyokisha natungulia kusema hapo juu, nahitaji msaada wa Software jamiiforums.com BOT VERSION AMBAYO ITANIWEZESHE KUGENERATE INCOME AT THE COMFORT OF MY HOME.

Hiyo Bot Version ni ile ambayo ina auto-click links zako bila ya kutegemea watu wengine wak-click!!

NATARAJI NIMEFAHAMIKA, INSAIDIENI PLZ WAKUU
.
 
mkuu bot za jamiiforums.com hazidumu unakuta zinakaa wiki tu then zinablockiwa.

Ili uzipate inabidi ujiunge forum za watu wanaopenda hizo ishu.

Jaribu labda gstek.info unaweza patapata mwanga japo wanaongea kihindi
 
na ni lazima uwe na kitu ambacho kinapakuliwa na wengi ndo iweze kulipa. mfano latest movies..
 
na ni lazima uwe na kitu ambacho kinapakuliwa na wengi ndo iweze kulipa. mfano latest movies..

hujamuelewa mkuu kuna bot clicker yani hiyo unaipa url yako inakupa click hadi 1000 na zaidi ndani ya saa per day unaweza kuta ukapata hata usd 15. Tatizo ikigunduliwa bot wale wenyewe adf wanaiblock.
 
mkuu bot za jamiiforums.com hazidumu unakuta zinakaa wiki tu then zinablockiwa.

Ili uzipate inabidi ujiunge forum za watu wanaopenda hizo ishu.

Jaribu labda gstek.info unaweza patapata mwanga japo wanaongea kihindi

Ngoja nijaribu kwenda hata kwa google translate. Thank you!!
 
NIME VISIT HIYO WEB ILA SIJAAMBULIA KITU!!

:crying::crying::crying::crying::crying:
 
mi nimejiunga na hyo jamiiforums.com ila tatizo cjui nitalipwa kwa njia gan.sina akaunti ya paypal wala visa nisaidieni
 
mi nimejiunga na hyo jamiiforums.com ila tatizo cjui nitalipwa kwa njia gan.sina akaunti ya paypal wala visa nisaidieni

sasa mkuu kama huna why umejiunga? Still hata ukiwa na paypal huwez receive payment ukiwa tanzania
 
so hapo suluhisho ni kufanya nini mkuu mkwawa

kama una domain ya top level ya zaidi miez 6 komaa na google ads ndo inalipa zaidi.hawa adf wanalipa Kwa mtanzania click 1,000 nafkiri ndo nusu dola so ni kama uonevu wakati mmarekan anapata kama dola 5
 
google nao wananizingua coz nimejiunga na hyo adsense ila hawa approve.mkuu
 
Kuhusu adfly Bot sahau hamna inayowork, zote uzionazo au kuona watu wakitangaza ni fake tu. Maana uki angalia concept behind hauwezi uka earn kwa botting, First adfly hawaruhusu na wako strict kuhusu swala hili na wata ku BAN na hawata angalia ata kama mwanzo uli earn kihalali. Kuhusu kutegeneza bot ambayo itaclick links zako ni simple kutegeneza lakini ni kwamba. Hazita count wana angalia IP so IP moja inaweza ku earn kwa click moja tu kwa each link. Kuna watu wakategeneza bot ambayo ina support proxies mwanzo na zamani sana ilikuwa inawork hii lakini wakaja block na kubacklist proxies na hazitacount. So hapo ata kama una bot hautaearn kitu.

And kuhusu utalipwaje, wanaruhusu na LR(liberty Reserve) hapo unaweza tegeneza account bure na haitaji verification za kulink card and unaweza send and receive money right away. So bado still uko Tanzania utaipataje iyo hela. well katika iyo site kuna trusted Patners wamelist ambayo wana fanya exchange Kwa liberty Reserve to Western Union.

So swala iliobakia ni uta earn vipi maana kuna watu wana earn mpaka $1000 per month, ni kuwa mjanja tu na ujue wapi pa kuwashika watu, na kama ushajua kuwa katika nchi gani ndo uta earn more per click ndo vizuri kuwa target hao hao.

So ukitaka ku earn nakushauri u earn kihalali na uachane na mabots. na uwe mbunifu na ujue kipi kinasakwa sana ukiweke uvute hits zako.
 
Back
Top Bottom