Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,795
- 58,427
Ahahahah we jamaa nilijua ni mtu na heshima zako...Anza mdogo mdogo na Lite beers
Napenda kahawai na maziwaChakula kila mtu anatumia , hata maji haunywi?
Kufa utakufa tu madam hata ukinywa juice ya embe kufa kupo pale paleπ€£Napenda kahawai na maziwa
Au chai ya maziwa ya viungo
Ooh thanks, nipatie Baileys Irish Cream π₯Bantu Lady kinywaji gani?
Kwa hiyo ni bro Evelyn Salt tu ndio anakula nyagi?Ooh thanks, nipatie Baileys Irish Cream π₯
Bro Evelyn Salt kashindikana anakunywa vitu, vikali vikali.Kwa hiyo ni bro Evelyn Salt tu ndio anakula nyagi?
Nataka siku moja nimtoe out tugide vodkaBro Evelyn Salt kashindikana anakunywa vitu, vikali vikali.
Bro mtu poa sana, aah hapo utacheka mpakaa. Ukumbuke na kapicha πππNataka siku moja nimtoe out tugide vodka
Kapicha labda ka vinywaji tuπBro mtu poa sana, aah hapo utacheka mpakaa. Ukumbuke na kapicha πππ
Kuonesha wewe ndio mmiliki halali...Mume kwanini umenitaja wa mwisho?
Sitaki.Kuonesha wewe ndio mmiliki halali...
Tonge la mwisho ndio la kukombea mboga
Mishikaki, nyama choma?Sitaki.