MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 305
Wala usijidanganye.uniambie tu kuna wakati shughuli zitakitinga utashindwa kuwa humu muda wote.Mie pia hivyo hivyo mpaka najishtukia.ila ugeni pia unachangia nikishakua mwenyeji ntaona uvivu kushinda humu
bado kaza butiHabari wanaJf
Napenda kujua hivi nanyi mnakuwa na ulevi km wangu(addiction) Wa kupenda kutumia mrefu humu jukwaani??
Maana nahisi si hali ya kawaida!!
Tupeane uzoefu na ushauri pia!
Wala usijidanganye.uniambie tu kuna wakati shughuli zitakitinga utashindwa kuwa humu muda wote.
Sio kwamba hutataka.
nami nasubiri huo ushauri kwa kweli!Habari wanaJf
Napenda kujua hivi nanyi mnakuwa na ulevi km wangu(addiction) Wa kupenda kutumia mrefu humu jukwaani??
Maana nahisi si hali ya kawaida!!
Tupeane uzoefu na ushauri pia!
huwezi kumzungumzia anaekesha bila wewe kukesha!Wengine mko humu 24/7 sijui hamna kazi za kufanaya.!?!?
Sio kweli.huwezi kumzungumzia anaekesha bila wewe kukesha!