Acha Maneno
Member
- Oct 6, 2018
- 49
- 96
Sio kila mtu anapenda kuwasha data muda wote anapoperuzi mtandao, JF zamani kama unasoma bandiko refu basi ulikuwa na uwezo wa kuzima data
Chapati Tatu mwanangu🥶Tafuta hela, data huwa haizimwi
Jiwe aliweza, Mwinyi aliweza sasa wengine watashindwaje! Zimeni mapema msingoje wa Chang'ombe waje wawazime.HIVI KUMBE KUNA KUZIMA DATA
😂😂😂😂😂😂😂😂Tafuta hela, data huwa haizimwi