Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,144
- 26,134
Nchi au jamii zenye uelewa wa uwajibikaji na kuheshimu dhamana ya uongozi,hizi tuhama zisingemuacha mtu madarakani:
*Kufoji vyeti
*Kuvamia kituo cha habari
*Kutukana watumishi hadharani
*Ufuska na uzinzi
*Kutumia mgongo wa madawa ya kulevya kujipatia mali kutoka kwa aliowatuhumi
*Kumiliki mali ambazo hazilingani na kipato chake
*Kudharau mhimili wa Bunge
*Kusikika kwenye Tv akisema ameenda kumkomoa mwananchi wa mkoa wake!
Nimewaza tu kwa sauti,chukua muda tafakari!