Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,792
Hatimae nimeona tabasamu lako Leo kwenye commenthahahahaha, hukunikwaza,hahahahahahahahah
ππππππ hahahahaha sawa bwanaHatimae nimeona tabasamu lako Leo kwenye comment
Wewe mwenyewe unajiita ethical, nimeshasema binti anashada ya sheria unanitakia mema kweli?
Kwani wewe ni billonea? Ndiyo msaada anao hitaji,
wanawake wengi wanajiuza sema mitindi ndo tofautiUchangudoa unalipa muda mwingine, hamna kusubiria mwisho wa mwezi!!
Ila uchangudoa mwingine upo damuni, mtu ana kazi nzuri, elimu nzuri ila bado anajiuza..!!!