hapana ni mtu mzima na ndiyo maisha kayachaguaNamuonea huruma.
asipompata ataumia kichwa sanaMimi conclusion ya kutarget billionaire ndiyo imeniacha hoi
hahaaaa hamnaaaaWewe na Miss Chagga mnashare notes? Asante mkuu
inasikitishaTena wananiambia yeye ni international level anaangalia world events kama kuna tennis, football au Olympic anaweza ngome kungojea wanaume wenye mkwanja.
Mkuu ninadhani tatizo kubwa ni kuthamini pesa kuliko ubinadamu wetu na dunia ya utandawzi imetufungua macho sana.Inahitajika kikao haraka sana hapa JF na hasa kijadili nyanja zote kimaisha kwa uhuru bila kuweka mipaka , , , kwani Taifa limekosa dira hususan vijana wa kike na kiume , , , Wadada wanasema hakuna waoaji na maisha ni magumu Vijana wakiume wanasema Wadada wasikuhizi hawaoeki kwani niwabishi ndani ya nyumba .Huku mila na desturi zetu zikiachia kamba na kudondoka .plz Nawapa kazi hii wafuatao watuandalie mjadala.
@misschaga
@missnatafuta
Shunie
john issa
chavala
chaki
Nawale wakongwe wa JF watakuwa wana tupia na kujibu maswali.
Naomba namba zake za simu nimshauri kitu, inaniuma sana huu mwelekeo wake siyo mzuri..Nimekutana na hii familia Ina binti ambae amehitimu chuo na shahada ya sheria lakini ameamua kutofanya kazi ya kuajiriwa, binti huyu amefanya kuwa kahaba na familia yake wanampa kila support.
Niliyeongea nae ni aunty wa binti ambae amenieleza haya. Aunty mwenyewe ni msomi mwenye shahada ya uzamili, ananiambia ni Kheri wampe muongozo kuliko afanye mambo haya kwa siri mwisho majanga yamfike.
Wakati wa World Cup in South Africa familia ilimpa pesa ya kukodi apartment mapema kwani machangu wengi walikimbilia huko na wale waliokuwa na apartments in prime areas waliweza kupata wanaume wenye pesa ndefu.
Kwakweli nilimshauri shost yangu huyu teemed kwenye maombi lakini alicheka sana na kuniona wa juzi sana.
Huku ndiyo jamii inakoelekea kwa sasa.
Kwahiyo tuseme vijana tumemezwa na utandawazi pasina kujinasua!?Mkuu ninadhani tatizo kubwa ni kuthamini pesa kuliko ubinadamu wetu na dunia ya utandawzi imetufungua macho sana.
Naomba tu niwe mkweli pia naomba unisamehe ila nimewiwa kukuambia kuwa Sijapenda hii comment yako Sergio 5!!!Jiunge nae
Wenye jukumu la kwanza ni wazazi, hatuwezi kuzuia mafuriko kwa mkono lakini tunaweza luxuriate chanzo cha mafurikoJe! Unadhani ni wakati muafaka wa kuielimisha jamii juu ya utandawazi!?? Na nank hasa mwenye jukumu la kuanza!?
Samahani mkuu kwa kukukwazaNaomba tu niwe mkweli pia naomba unisamehe ila nimewiwa kukuambia kuwa Sijapenda hii comment yako Sergio 5!!!
hahahahaha, hukunikwaza,hahahahahahahahahSamahani mkuu kwa kukukwaza