Nimekutana na hii familia Ina binti ambae amehitimu chuo na shahada ya sheria lakini ameamua kutofanya kazi ya kuajiriwa, binti huyu amefanya kuwa kahaba na familia yake wanampa kila support.
Niliyeongea nae ni aunty wa binti ambae amenieleza haya. Aunty mwenyewe ni msomi mwenye shahada ya uzamili, ananiambia ni Kheri wampe muongozo kuliko afanye mambo haya kwa siri mwisho majanga yamfike.
Wakati wa World Cup in South Africa familia ilimradi pesa ya kukodi apartment mapema kwani machangu wengi walikimbilia huko na wale waliokuwa na apartments in prime areas waliweza kupata wanaume wenye pesa ndefu.
Kwakweli nilimshauri shost yangu huyu teemed kwenye maombi lakini alicheka sana na kuniona wa juzi sana.
Huku ndiyo jamii inakoelekea kwa sasa.