Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Wakuu leo nimeona kwenye habari Tamwa wakitoa tuzo kwa badhi ya vyomba vya habari na magazeti inclusive, kama appreciation kwa kazi nzuri ya upigaji vita dhidi ya ufisadi.
Mara moja lilikuja wazo kwa nini sisi hapa jf hatukupewa? Maana hata kabla ya vyombo vya habari mimi nimeshuhudia vita ikianzia hapa na kwenda hadi magazetini.
Naomba Tamwa wawe fair kwa jambo hili na watoe tuzo kwa jf kwa kuongoza vita kubwa hii ya ufisadi katika nchi hii. Au tuzo hiyo kapewa Invisible kimya kimya?
Nawakalisha.