Mimi nime update nimepoteza logo nzuri!Mimi sitafanya Update labda wanishikie Bunduki. Hiyo logo ilifaa kwa wasanifu majengo!
Ni huzuniMimi nime update nimepoteza logo nzuri!
Kuna feature zozote nzuri zimeongezeka mkuu??Mimi nime update nimepoteza logo nzuri!
Nasikia no Sheria Ngowi๐๐Ukweli ni kwamba hii logo ni mbaya, sitaki kuingilia kazi ya mtu ila hapa mbunifu wa hii logo amefeli.
Wajumbe mje kutoa neno.
Intelligent businessman Selikavu Edo kissy dosho12
Basi tumepigwa ๐Nasikia no Sheria Ngowi๐๐
Mtaalamu wa mavazi kapewa logo๐๐Basi tumepigwa ๐
Yani nikitaka kuingia JF mpaka niitafute kumbe nafanya kuipita tu ๐Mtaalamu wa mavazi kapewa logo๐๐
Logo ya zamani ni nzuri zaidi kuliko logo hii mpya! Mtazamo wanguView attachment 3412253
Je unatumia mtandao wa Jamii forums Tanzania!! , app ya jamii forums leo wamefanikiwa kufanya maboresho kwa kuweza kubadilisha logo Yao ambayo ilidumu kwa muda mrefu sana.
View attachment 3412254
Mtandao wa jamii forums Tanzania ni jukwaa linalowakutanisha watu Mbalimbali na kuweza kupiga Soga, kupeana ushauri kujifunza mambo Mbalimbali kuhusu Nchi ya Tanzania na Dunia kwa ujumla kuanzia siasa, Elimu , afya, michezo , Teknolojia nk.
View attachment 3412255View attachment 3412256View attachment 3412257
Mtandao huu Kwa mara ya kwanza ilikua tarehe 13 Mei, 2012 mpaka Sasa umepakuliwa na jumla ya watu milioni moja.
Umefanya update ya Jamii forums Tanzania!!
#jamiiforums #apps #bongotech255
Hakuna, wamebadili logo tuu.Kuna feature zozote nzuri zimeongezeka mkuu??
Kala hela za bureUkweli ni kwamba hii logo ni mbaya, sitaki kuingilia kazi ya mtu ila hapa mbunifu wa hii logo amefeli.
Wajumbe mje kutoa neno.
Intelligent businessman Selikavu Edo kissy dosho12
Haina mvuto kama ile ya mwanzo haina maana yoyote hata rangiKwanini ๐
Ametumia ada vibaya.Kala hela za bure