Jamii forums wamebadili logo Yao

Jamii forums wamebadili logo Yao

Hawa jamii forum kila mwaka wa update app, wanabadilisha kila kitu, ni kama ndio mtu umeanza upya kila kitu hakionekani, kwanza yaani ile app ya mwaka jana ndio nimeiweza juzi tu, leo wamebadilisha kila kitu.. hata instagram, Facebook hawafanyi hivyo… tatizo nini mpaka kila mara unabasilisha features????
 
Back
Top Bottom