Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,478
- 167,035
- Thread starter
-
- #21
usalam ziro wajameni siku hiyo tutakimbiana wenyewe kwani get together but it will be run away
conquest-wana jf tunatafutwa na maadui zetu kutokana na ukweli wetu.
Tuje na familia zetu au kivyetu vyetu? nitafurahi sana kukutana na akina FL1, Maria Roza, Zion daugher na wengineo live - i wish..
WE FURAHA YAKO NI KUONA MABINTI TU?
TEAMO ANA NIKOSHA SANA MZEE WA MA INFIDELITY, NTAFURAHI SANA KUMUONA, YEYE PAMOJA NA NGULI.
PIA PAKA JIMMY ANANIKOSHA SANA.:lol:
Wewe kama nani uandae party ya JF'ers?? mlishawahi kukutana JF'ers? na mlijadili nini? je kuna mafanikio ya mkutano wenu??Baadae kidogo ntawatumia picha ya mandhari ili muweze kupata picha kamili ya eneo lenyewe.
Usalama upo, kwa ajili yenu na mali zenu.
we furaha yako ni kuona mabinti tu?
Teamo ana nikosha sana mzee wa ma infidelity, ntafurahi sana kumuona, yeye pamoja na nguli.
Pia paka jimmy ananikosha sana.:lol:
Hata mimi skulimeti wako huna hamu ya kuniona? Kweli infidelity is there to stay!Tuje na familia zetu au kivyetu vyetu? nitafurahi sana kukutana na akina FL1, Maria Roza, Zion daugher na wengineo live - i wish..
Mkuu ntatuma Avatar yangu!!Hiyo imetulia sana bwana shemeji.
Naomba siku hiyo usikose kuja na mijimama yako inayokuganda.
Hahhaha! mpwa naona hapo uko kikazi zaidi...valuer,pepsi na safari wota zisikosekane pliz maana nina wapwaz wanatumia teamo,asprin,kaizer,fidel80,beauty
Hahahahaha.I will be more than happy kukutana na mate wa mpwa.Na hivi siku hizi Chrispin kala ban ya maisha ni raha tu.TZ bila ya infidelityHata mimi skulimeti wako huna hamu ya kuniona? Kweli infidelity is there to stay!
Wewe kama nani uandae party ya JF'ers?? mlishawahi kukutana JF'ers? na mlijadili nini? je kuna mafanikio ya mkutano wenu??
sijaona faida ya kukutana kama JF'ers......
dogo ww mgeni sana online......haya kakutananeni ila msije kulia lia hapa....Hujalazimishwa mkuu...
kama hutaki kukutana kaa pembeni waache wenye interest wajadili....:mad2:
well said KK tufahamiane kwanza then menge yafateMkuu inabi sisi as JF Member then after the relatives hapo ndiyo tunaweza kufahamiana lakini tukichanganyikana for the first time inakuwa vigumu kujua yupi ni yupi!!
itabidi uwe mpole tu kaka/dada kama jina lako!Mimi nitakuwepo na Shati langu la CCM! nitakuja kama mwana JF!.. please msinitolee macho:glasses-nerdy:
itabidi uwe mpole tu kaka/dada kama jina lako!