Jamii forums contacts!!!

Jamii forums contacts!!!

Ze burner

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
514
Reaction score
84
habari zetu wana JF.

Mimi ni mwanagenzi katika anga hizi aloo.ila tokea nilipojiunga nimeona majina machache sana ya wana Jf ambayo ni most familiar kwa jamii ya Kitanzania. Hivi kweli hayo ndiyo majina yenu auuuu. naona yanafanana na majina ya vitu au wadudu hivi. Na mimi niliogopa kuweka langu nikijua hiyo ndiyo sheria iliyofichwa mana haimo ktk kanuni. Haya inkuajeeee. eti wana JFnkwanini??????????
 
lakini heading yako na yaliyomo ni tofauti....au ulikuwa unamaanisha nini?
 
nitarudi kesho maana inawezekana ikawa nimechoka kwani sijamsoma mkuu kabisaa
 
lakini heading yako na yaliyomo ni tofauti....au ulikuwa unamaanisha nini?

Nnachomaanisha hapa ni haya majina yanayodisplay hapo juu. kama la kwako preta
 
Mi picha za wadada tu ndio zinanimaliza nguvu!
Wanapenda kujichagulia picha nzuriiii!
 
Kwani we umekuja humu kwenye hili jamvi kujuana na watu? Do ur thing n move on acha mambo ya kujuana hapa
 
Kwani we umekuja humu kwenye hili jamvi kujuana na watu? Do ur thing n move on acha mambo ya kujuana hapa

La hasha!!! punguza jazba mkuu huu ni utani tu mkuu nilijua nitaulizwa swali kama hili. na hapo umenena kweli si lazima..
Nilikua nataka kujua mwelekeo wetu wana Jf nafahamu sana faida za kutokujuana ie (impersonality). wala sitaku tujuane ningetaka hivyo ningekuwa Facebook hivi sasa! Sometimes you can be cautioned positively. si lazima ukemewe na hapa ndio lengo limefikiwaaaaaaa. Bst wishez
 
Majina ndio yenyewe mkuu. Tena ya hapahapa tz
 
kama ya nani?
<br />
<br />
hivi ule usaili wa kutafuta rafiki umesha isha?mbona majibu hayatoki?au ukiona kimya ndo bye bye.waliopata hiyo nafasi adimu ni akina nani?mia
 
Abaaa weye watoka wapii. Chokocho au Gae la ntungi.
 
Back
Top Bottom