JAMII FORUM OYEEEEEE ! Chezea

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,143
Reaction score
14,665
hodihodi waungwana asalam aleikhum walahma tullahi taala wabarakatu ,kwa kweli jamii f nilikuwan naickia tu kwenye kipindi cha uchaguz kuwa ni familia makini ..............ishalah nitadumu nanyi new friends
 
karibu mkuu, umeleta dagaa ma mawese lakini..?
 
karibu sana, ila we ni kama nimeshakutana na wewe kwenye majukwaa?
 
Karibu sana JF.Hiyo kasi hiyo...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…