Jamii forum members naomba mniisaidie nataka majibu...

JOYCE PAUL

JF-Expert Member
Jan 8, 2010
1,005
82
nimejihuliza kuhusu hii idadi ya wana jamii forum... 23150 hivi kweli tukigawanyika kwa idadi ya wapiga kura waliojiandikisha nchini kwa ajili ya uchaguzi mkuu..jee

1. kila mmoja atatakiwa kufundisha watu wangapi kuhusu elimu ya uchaguzi aliyoipata humu ambayo
haipatikani kwa idadi kubwa ya wapiga kura wa ukweli nchini ?huku mada nyingine humu zikipatikana kwa watu wachache walioteuliwa.

2.na je wengi wetu tulio katika jamii forum tunaishi maeneo gani?

3.wanajamii forum wangapi wana access internet masaa 24?
[/B]
tukiweza jibu maswali hayo ndio tutathibitisha usemi wa makele ya chura hayamzuihii tembo kunywa maji au yanamzuia na au debe tupu halikosi makelelee n
 
Hebu fanya utafiti kama wa REDET au Synovet lakini ulio makini ndio utapata majibu mazuri ya maswali yako hapo juu. Andaa dodoso na kila member wa hapa alijaze na mwisho wa siku utapata majibu mazuri kwa maswali yako. Kuyaweka hapa hutapata majibu na huenda wengine wasisome kabisa topiki yako hii au utapata majibu ya watu wa mlengo mmoja tu na majibu yako yatalalamikiwa kama ya REDET na SYNOVATE!
 
nimejihuliza kuhusu hii idadi ya wana jamii forum... 23150 hivi kweli tukigawanyika kwa idadi ya wapiga kura waliojiandikisha nchini kwa ajili ya uchaguzi mkuu..jee

1. kila mmoja atatakiwa kufundisha watu wangapi kuhusu elimu ya uchaguzi aliyoipata humu ambayo
haipatikani kwa idadi kubwa ya wapiga kura wa ukweli nchini ?huku mada nyingine humu zikipatikana kwa watu wachache walioteuliwa.

2.na je wengi wetu tulio katika jamii forum tunaishi maeneo gani?

3.wanajamii forum wangapi wana access internet masaa 24?
[/B]
tukiweza jibu maswali hayo ndio tutathibitisha usemi wa makele ya chura hayamzuihii tembo kunywa maji au yanamzuia na au debe tupu halikosi makelelee n

Mie nina access na internet kwa muda wa saa zisizozidi kumi, ninaishi dsm.
 
Hiyo 23150 umeifanyia uchunguzi kwanza maana Malaria Sugu wako kibao humu.
 
Una maanisha nini kusema " Malaria Sugu wako kibao humu", kwani MS hana haki ya kuwa counted kama member wa JF? mimi nafikiri pamoja na tofauti zetu za itikadio na hoja bado kila mmoja ana haki yake kama member!
 
Sometime we have to AGREE TO DISAGREE
 
Ni kweli maneno yako, tofauti zetu za kisiasa na kihitikadi na kiimani zisitupelekee kuchukiana!
 
Lakini hiyo idadi uliyoiweka kumbuka watu himu wameji regster zaidi ya mara mmoja!!
 
Sometime we have to AGREE TO DISAGREE

I support this, kuna mwanafalsafa mmoja alisema " Ukiwa na jamii ambayo ina mawazo sawa na kukubaliana kwa kila hoja, maana hiyo wanafikiri sawasawa kwa kila kitu, basi uhue hoja za jamii hiyo ni DHAIFU! na Mwalimu Nyerere aliwahi kutanabaisha kuwa -Great Thinkers does not shout, they always Argue!
 
Lakini hiyo idadi uliyoiweka kumbuka watu himu wameji regster zaidi ya mara mmoja!!
Hapa ndio tatizo litakapokuwa kujua idadi kamili ya wanachama maana wengine wamejisajiri mpaka mara mbili au zaidi!
 
Una maanisha nini kusema " Malaria Sugu wako kibao humu", kwani MS hana haki ya kuwa counted kama member wa JF? mimi nafikiri pamoja na tofauti zetu za itikadio na hoja bado kila mmoja ana haki yake kama member!

Mtu mmoja anajisajili zaidi ya mara moja kwa majina tofauti.
 
Hii inaweza kuwa kweli, lakini hoja yangu ni kuwa je kuna ushahidi wowote ( I mean congreate evidence) kuwa MS amejisajili zaidi ya mara moja kwa majina tofauti? najua kinachowafanya mfikiri hivi ni kuwa na wanaJF kadhaa wenye mawazo kama ya MS, lakini hii so ushahidi kuwa ni MS aliyejisajili kwa majina tofauti! Sipendi Cheating lakini sipendi zaidi kumshutumu mtu bila ushahidi wa kutosha!
 
Back
Top Bottom