kalipeni
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 1,590
- 1,357
Kama huna data ingia Facebook ya bure ndani ya fb search freebasics ingia profile yao utakuta link ya web yao ingia apo ukiwa ndani ya freebasics utatembelea website kibao jamii forums ikiwemo usipoikuta kunasehemu ya kuad programs unaweza ongeza web yoyote wazee wa kitonga ndio zetu kitambo tu.
Kila nikiangia freebasic jf naambiwa data charge my apply tatizo ni nini? Msaada wakuu