secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,838
- 8,653
Mlipaswa muache kesi isikilizwe on merit..Bismillahir Rahmaanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
LEO TAREHE 28.04.2021, SERIKALI IMEKATA RUFAA MAHAKAMA YA RUFAANI DHIDI YA MASHEIKH
Tarehe 23.04.2021, Mahakama Kuu ilitoa hukumu ya ushindi kwa Masheikh wa kesi 14, Kati ya 25, zilizokuwa zinawakabili Masheikh.
Baada ya uamuzi huo shauri lilipangwa liendelea leo kwa kusikilizwa kesi 11, zilizobaki.
Katika hali ya kuonesha nia ya serikali ya kuendelea na msimamo wake dhidi ya Masheikh hao leo hawakufika Mahakamani kama ilivuotarajiwa na badala yake wametuma hati ya kukata rufaa dhidi ya hukumu iliyowapa ushindi wa kesi 14, Masheikh.
Kufuati hatua hiyo shauri hilo litasitishwa kuendelea Mahakama Kuu mpaka litakapo sajiliwa Mahakama ya Rufani na kukapangiwa majaji wa kusikiliza na hatimaye kutolewa uamuzi.
Wito wa Shura ya Maimamu Tanzania kwa wananchi ni ule ule wa kuwa karibu na kesi hizi kubwa ili kuona na kupata fursa ya kutafakari mgumo wetu wa sheria, uongozi na mustakbali wa Taifa letu .
Ibrahim Z. Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tanzania.
0713118812*
Kwani ndio aliwakamata?
Safi sana serikali kumbe bado ipo imara. Gaidi ni gaidi tuBismillahir Rahmaanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
LEO TAREHE 28.04.2021, SERIKALI IMEKATA RUFAA MAHAKAMA YA RUFAANI DHIDI YA MASHEIKH
Tarehe 23.04.2021, Mahakama Kuu ilitoa hukumu ya ushindi kwa Masheikh wa kesi 14, Kati ya 25, zilizokuwa zinawakabili Masheikh.
Baada ya uamuzi huo shauri lilipangwa liendelea leo kwa kusikilizwa kesi 11, zilizobaki.
Katika hali ya kuonesha nia ya serikali ya kuendelea na msimamo wake dhidi ya Masheikh hao leo hawakufika Mahakamani kama ilivuotarajiwa na badala yake wametuma hati ya kukata rufaa dhidi ya hukumu iliyowapa ushindi wa kesi 14, Masheikh.
Kufuati hatua hiyo shauri hilo litasitishwa kuendelea Mahakama Kuu mpaka litakapo sajiliwa Mahakama ya Rufani na kukapangiwa majaji wa kusikiliza na hatimaye kutolewa uamuzi.
Wito wa Shura ya Maimamu Tanzania kwa wananchi ni ule ule wa kuwa karibu na kesi hizi kubwa ili kuona na kupata fursa ya kutafakari mgumo wetu wa sheria, uongozi na mustakbali wa Taifa letu .
Ibrahim Z. Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tanzania.
0713118812*
Me zamani nilikuwa ninadhani kuwa kupata haki mahakamani ni kule kuachiwa huru, nilikuwa najidanganya.Haki itachelewa lakini itapatikana.
😀😀😀Me zamani nilikuwa ninadhani kuwa kupata haki mahakamani ni kule kuachiwa huru, nilikuwa najidanganya.
Kumbe hata kupatikana na hatia na kufungwa ni haki pia!
Kama Ni kweli ndio walisababisha Ile mioto na Yale maumivu, serikali imefanya Jambo jemaKabla ya mashekh kukamatwa kulikuwa na vitendo vya uhalifu kama mapadri kumwagiwa tindikali na makanisa kuchomwa moto. Ila walipokamatwa mpaka leo hii ni amani, hakuna padri au kiongozi yoyote kamwagiwa tindikali na makanisa hayajachomwa moto mpaka leo.
Kinachoogopesha zaidi, hawa watu wakiachiwa huru huenda kitaibuka kikundi cha Islamic State km Msumbiji, Nigeria na Somalia .
Na waliwekwa ndani na marais waislam.Kabla ya mashekh kukamatwa kulikuwa na vitendo vya uhalifu kama mapadri kumwagiwa tindikali na makanisa kuchomwa moto. Ila walipokamatwa mpaka leo hii ni amani, hakuna padri au kiongozi yoyote kamwagiwa tindikali na makanisa hayajachomwa moto mpaka leo.
Kinachoogopesha zaidi, hawa watu wakiachiwa huru huenda kitaibuka kikundi cha Islamic State km Msumbiji, Nigeria na Somalia .
hakuna cha msaamha yaani...DU aisee wangewasamehe sasa wamekosa lakini wamejifunza pia
Safi sana serikali kumbe bado ipo imara. Gaidi ni gaidi tu
Hawa jamaa nao hawawezi kumuabudu Mungu wao , mpaka wawafitini watu wa madhehebu mengine ?!.
Anyway. All in all wahukumiwe ili wasi na hatia warudi nyumbani.
chadema ni wahuni tena ni wahuni sana hao mashehe walitenda makosa lakini wameshajifunza lakini chadema ni donda ambalo haliponi hawajifunziHuku Una huruma ?!. Si ndiyo wewe unaeshabikia udhalimu wa serikali ?!. Au kwa Cdm ni mkuki kwa nguruwe ?!.
Kijana, pamoja na uislam wangu siwezi kuwa na huruma na gaidiNa yule Gaidi aliye tupa bomu Kanisani Arusha Bwana..... Yupo Gereza gani? Watanzania wote tunajua kuwa Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi wakati huo Mh. Emanuel Nchimbi akiwa Bungeni alitangaza kuwa lile ni tukio la Kigaidi, na sote tunafahamu kuwa yule aliye fanya tukio ni Muislaam. Kama kweli serekali ipo, yule Bwana.... Yupo Gereza gani? Majibu tafadhali
Kijana, pamoja na uislam wangu siwezi kuwa na huruma na gaidi
Wana wamekata Rufaa
Na nyie mlizidi...mlishangilia ushindi wa yale mashitaka yaliyotolewa mapema.....
Angalia sasa wanakatia rufaa ngoma ianze upyaa....
Halafu mwisho wa siku kabla Rufaa haijaanza kusikilizwa serikali wanasema wanaondoa rufaa yao, mnarudi tena kusikiliza kesi ya msingi.Bismillahir Rahmaanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
LEO TAREHE 28.04.2021, SERIKALI IMEKATA RUFAA MAHAKAMA YA RUFAANI DHIDI YA MASHEIKH
Tarehe 23.04.2021, Mahakama Kuu ilitoa hukumu ya ushindi kwa Masheikh wa kesi 14, Kati ya 25, zilizokuwa zinawakabili Masheikh.
Baada ya uamuzi huo shauri lilipangwa liendelea leo kwa kusikilizwa kesi 11, zilizobaki.
Katika hali ya kuonesha nia ya Serikali ya kuendelea na msimamo wake dhidi ya Masheikh hao leo hawakufika Mahakamani kama ilivuotarajiwa na badala yake wametuma hati ya kukata rufaa dhidi ya hukumu iliyowapa ushindi wa kesi 14, Masheikh.
Kufuati hatua hiyo shauri hilo litasitishwa kuendelea Mahakama Kuu mpaka litakaposajiliwa Mahakama ya Rufani na kukapangiwa Majaji wa kusikiliza na hatimaye kutolewa uamuzi.

0713118812