Ibrahimu Zuberi Mkondo
Member
- Sep 19, 2019
- 43
- 383
Wasamehewe nini, si baadhi ya watu wanasema hawana makosa? Acha sheria ifuate mkondowake wakionekana hawana hatia wataachiwa wakitiwa hatiani watawajibika.DU aisee wangewasamehe sasa wamekosa lakini wamejifunza pia
Kabla ya mashekh kukamatwa kulikuwa na vitendo vya uhalifu kama mapadri kumwagiwa tindikali na makanisa kuchomwa moto. Ila walipokamatwa mpaka leo hii ni amani, hakuna padri au kiongozi yoyote kamwagiwa tindikali na makanisa hayajachomwa moto mpaka leo.Ipo siku mwenye hii dunia atajibu maombi yetu
Huku Una huruma ?!. Si ndiyo wewe unaeshabikia udhalimu wa serikali ?!. Au kwa Cdm ni mkuki kwa nguruwe ?!.DU aisee wangewasamehe sasa wamekosa lakini wamejifunza pia
Hawa jamaa nao hawawezi kumuabudu Mungu wao , mpaka wawafitini watu wa madhehebu mengine ?!.Kabla ya mashekh kukamatwa kulikuwa na vitendo vya uhalifu kama mapadri kumwagiwa tindikali na makanisa kuchomwa moto. Ila walipokamatwa mpaka leo hii ni amani, hakuna padri au kiongozi yoyote kamwagiwa tindikali na makanisa hayajachomwa moto mpaka leo.
Kinachoogopesha zaidi, hawa watu wakiachiwa huru huenda kitaibuka kikundi cha Islamic State km Msumbiji, Nigeria na Somalia .
Kama ni makosa ya ugaidi si sheria ipo why hawasemi wana makosa gani nahisi serikali inaogopa fidiaDU aisee wangewasamehe sasa wamekosa lakini wamejifunza pia
Bismillahir Rahmaanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
LEO TAREHE 28.04.2021, SERIKALI IMEKATA RUFAA MAHAKAMA YA RUFAANI DHIDI YA MASHEIKH
Tarehe 23.04.2021, Mahakama Kuu ilitoa hukumu ya ushindi kwa Masheikh wa kesi 14, Kati ya 25, zilizokuwa zinawakabili Masheikh.
Baada ya uamuzi huo shauri lilipangwa liendelea leo kwa kusikilizwa kesi 11, zilizobaki.
Katika hali ya kuonesha nia ya serikali ya kuendelea na msimamo wake dhidi ya Masheikh hao leo hawakufika Mahakamani kama ilivuotarajiwa na badala yake wametuma hati ya kukata rufaa dhidi ya hukumu iliyowapa ushindi wa kesi 14, Masheikh.
Kufuati hatua hiyo shauri hilo litasitishwa kuendelea Mahakama Kuu mpaka litakapo sajiliwa Mahakama ya Rufani na kukapangiwa majaji wa kusikiliza na hatimaye kutolewa uamuzi.
Wito wa Shura ya Maimamu Tanzania kwa wananchi ni ule ule wa kuwa karibu na kesi hizi kubwa ili kuona na kupata fursa ya kutafakari mgumo wetu wa sheria, uongozi na mustakbali wa Taifa letu .
Ibrahim Z. Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tanzania.
0713118812*
Mwaka wa 9 huu sheikh.....Allah Atawapigania
Kwani walikamatwa kipindi Cha mwendazake?Hiyo ni danganya toto tu ili isionekane mwendazake alikuwa na mkono.
Mbona hiyo case ishakwisha tangu ujasiri wa kukiri mapungufu Mar 17 ulipopatikana?
Ni suala la muda tu.
Kwani ndio aliwakamata?Hiyo ni danganya toto tu ili isionekane mwendazake alikuwa na mkono.
Mbona hiyo case ishakwisha tangu ujasiri wa kukiri mapungufu Mar 17 ulipopatikana?
Ni suala la muda tu.
Kwani walikamatwa kipindi Cha mwendazake?