Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,503
Write your reply...huu ugomvi ukianzia genesis yake uko kiukoo,kuna mtu anaitwa bin Abdu sham huyu ni mtoto wa Abd manaf bin qusai wakiishi mecca na ni makureishi,family ya umawia wanatokana na huyu abdi manaf kupitia kupitia abdi sham,wakati Mohamed anatokana na mtoto aitwae Hashim,ndo maana hawa huitwa hashemite,yaani wana wa Hashim,hizi family mbili zilikuwa na mgogoro hasa baada ya mtume kuiteka maka,hawa umawia wakajifanya wameacha kumpinga mtume na kuwa waislamu,lakini kumbe hawa ndo baadae wakaja kuua mjukuu wa mtume Husein aliuliwa na Yazid mtoto wa muawia