ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,720
Nimekupa logic ndogo kuwa Mungu anaweza kukupenda ukiwa unafanya mazuri kama ibilisi alipokuwa mchamungu, alipofanya uovu Mungu akamchukia, ata Omari alipokuwa anafanya mazuri alipendwa , alipoanza ujinga wake basi akawa mtu muovu , unawezaje kujiita swahaba wa mtume kipenzi uendi kuzika kisa huko busy na madaraka , huu ni uroho mkubwa nakifikir nimeelewekaAkili zako sijui umezielekeza wapi, then we sio muislam, kama ungekuwa muislam nahisi ungeona aibu kwa hiki ulichokiongea, Iblis (Laanatullah) eti alikuwa mchamunguhivi hatma yake ilikuwa ni nini? Inamaana hujui kuwa licha ya uchamungu wake lakini mwisho wake ulikuwa ni mbaya baada ya Adam kupuliziwa roho?
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD


