Jamhuri ya Cuba | República de Cuba

Hakuna makundi ya kihuni yanayosumbua sana huko? Huwa naona S.America ni watata sana kwa hizi mambo
 
Asante Sana kwa kuchochea mada na historia hii.

Cuba alifanya oparesheni safisha!
 
Hakuna ubaguzi wa rangi huko?
Hakuna ubaguzi wa rangi kwa majority! Ni moja ya taifa lenye kujinasibisha na Afrika.

Hence hapo awali watumwa wa kiafrika walikunywa na kufikia Cuba kabla ya safari ya US.
 
Hakuna makundi ya kihuni yanayosumbua sana huko? Huwa naona S.America ni watata sana kwa hizi mambo
Makundi makundi hayawezi kukosa lakini kwa Cuba hali ni shwari kabisa, tatizo internet!
 
Ni kweli kama sio Cuba, basi MPLA ingeshindwa kirahisi Sana na UNITA iliyokuwa ikisaidiwa na serikali ya makaburu, Zaire ya Mobutu na Marekani.

Ila huo mzozo ulisukumwa zaidi na Vita baridi ya wakubwa wa dunia wakati huo.
 
Nchi nyingi zilizowekewa kikwazo na Marekani zikashindwa ku survive ni zile zinazotegemea chakula kutoka nje, mahitaji ya muhimu ya kibinadamu kama madawa, nguo. Lakini nchi zenye mambo hayo na zikawa na teknolojia kubwa, wasomi na kulinda utaifa wao ni lazima wasurvive tu na vikwazo vya marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…