isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,146
- 6,564
- Thread starter
-
- #21
Amini na utafika 😊Da ni nchi mojawapo lazima nitembelee kabla sijafa kama mungu atabaliki cuba ethiopa nikaone yale makanisa kule lalibela yaliyojengwa na malaika The lalibela churches na japan
Kaka shukran sana nimeipitia vyema ila uswidi na uswis hapa sija elewa MKUU ?!
Nadhani hii ndio hoja MAMA juu yavikwazo MKUU navikwazo vinaleta athari kusudiwa hasa katika Ulimwengu watatu maana wao kila kitu msaada[emoji34][emoji48][emoji34].....Inatumia mbinu wezeshi ya kumpatia Urusi na Uturuki asambaze. Hata hivyo vikwazo vya Marekani kwa Kuba ni vidogo ukilinganisha mataifa mengine.
Kwa mataifa yanayojielewa vikwazo havifanyi kazi yoyote.
Uswidi (Sweden) 🙈 Uswissi (Suisse)Kaka shukran sana nimeipitia vyema ila uswidi na uswis hapa sija elewa MKUU ?!
💯 Maana Korea Kaskazini, Cuba, Iran, Bolivia, Beralus, Ufilipino wanaendeleza biashara.Kwa mataifa yanayojielewa vikwazo havifanyi kazi yoyote.Nadhani hii ndio hoja MAMA juu yavikwazo MKUU navikwazo vinaleta athaei kusudiwa hasa katika Ulimwengu watatu.....
naam hapa tuko pamoja ss [emoji3][emoji23][emoji2]Uswidi (Sweden) [emoji85] Uswissi (Suisse)
Hakika.[emoji817] Maana Korea Kaskazini, Cuba, Iran, Bolivia, Beralus, Ufilipino wanaendeleza biashara.
Pamoja 🙏Vema
Haya mataifa ukiyasoma kwa KiSwahili kwa mara ya kwanza, utadhani mabomu ya atomiki!naam hapa tuko pamoja ss [emoji3][emoji23][emoji2]
Hahaha 😁Big up sana kwa wacuba wote mliojitolea kwa hali na Mali kuipigania Afrika dhidi ya mabeberu,ikitokea nchi yoyote inataka kuishambulia Cuba Niko teyari kuwapa msaada wa kufanya hujuma kwa nchi vamizi
Viva Cuba
Estamos juntos
Nalog off
Hakika mkuu, huku Zanzibar kuna madaktari wengi sana wa Cuba kila mwaka wanakuja kisaidia sector ya afyaHahaha [emoji16]
Ujue Cuba kila mwaka hutoa wataalamu mbalimbali kwa nchi zinazoendelea na Afrika huku ikiwalipa wenyewe.
Kaka shukran sana nimeipitia vyema ila uswidi na uswis hapa sija elewa MKUU ?!
[emoji817] Maana Korea Kaskazini, Cuba, Iran, Bolivia, Beralus, Ufilipino wanaendeleza biashara.