Jamhuri iheshimiwe

Jamhuri iheshimiwe

Hakuna rais duaniani aliyeshindana na kanisa na akashinda. Ni suala la muda tu, Samia ataishia mwisho mbaya sana sana. Kitendo cha kutuma watu kulawiti watu huku wakisema ''asante Samia'' ni ushetani ambao Mungu hataachia ipite hivi hivi.
Kuna maisha baada ya kuwaombea wengine mabaya. President yeye analinda amani ya nchi na amekula kiapo hicho. Sasa kosa lake nini hadi umwombea mabaya. Wacha wivu 😂😂😂
 
Wewe ni miongoni mw watanzania mnaoamini kwamba SAMIA SULUHU HASSAN ana PhD?
Kumbe ndiyo maana nawe una akili kama mwimba taarabu
Wewe unaimba nyimbo gani? Ukanda wa pwani ni taarabu tu
 
Jamhuri ipi? Hii inayouza Bandar zake kwa warabu?
Hii Jamhuri iliyoshindwa hata kusimamia DART?
HII Jamhuri ambayo viongozi wake wanaingia madarakani kwa WIZI WA KURA?
Kwamba ukishakuwa raisi unakuwa na PhD hata kama ulikimbiq shule kama samia???
Hivi bandar waliibeba wakaondoka nayo au na wewe ni mkenya mnaona ufanisi umekuwa mzuri mnawasiwasi bandari ya mombasa itakuwa na hali mbaya .
 
Jamhuri ipi? Hii inayouza Bandar zake kwa warabu?
Hii Jamhuri iliyoshindwa hata kusimamia DART?
HII Jamhuri ambayo viongozi wake wanaingia madarakani kwa WIZI WA KURA?
Kwamba ukishakuwa raisi unakuwa na PhD hata kama ulikimbiq shule kama samia???
Samia kafeli form four halafu eti leo Dr?😂😂😂 Dr wa kuteka watu na usanii mwingi na ufisadi?
 
"Kujaribu kuishika Jamhuri kidevu na kuitekenya kwapani ni kama kumvisha jogoo soksi na kutegemea acheze ballet, utavunja heshima, na upate aibu😂😂😂." — Alloyce, P.R.
Alisikaka mlevi mmoja, "Jemhuri ya samaki"
 
"Kujaribu kuishika Jamhuri kidevu na kuitekenya kwapani ni kama kumvisha jogoo soksi na kutegemea acheze ballet, utavunja heshima, na upate aibu😂😂😂." — Alloyce, P.R.
Mwenyewe unajiona umeandika point kweli kweli aise ila hii dunia ina maajabu sana.
 
Kuna maisha baada ya kuwaombea wengine mabaya. President yeye analinda amani ya nchi na amekula kiapo hicho. Sasa kosa lake nini hadi umwombea mabaya. Wacha wivu 😂😂😂
Samia anatuma watu kulawiti na kuua. Ni muuaji na damu anayomwaga itamwadhibu!
 
Back
Top Bottom