I have a problem with a leader, a minister of President, who will go into partnership with an outside investor, like Barrick, while still in power. A minister or president is first and foremost the first and last line of protecting the interests of the people of Tanzania. Sasa anapotumia wadhifa wake kuingia katika miradi na akina Barrick, etc. itakapobainika kuwa maslahi ya umma yamedhulumiwa ni nani atakayetetea umma?
Insurgent,
Unajua mkuu wangu kuna wakati tunavuka mpaka nahasa ktk hoja hii.
Wewe unapodai ama kumaanisha kuwa rais wetu alikuwa na hisa Barricks kabla hajashika madaraka! Una ushahidi wowote maanake tusiwe tunadai ushahidi ktk issue uliyoianzisha wewe.
JK hakuwa na hisa Barricks kabla hawa jamaa hawajaingia nchini kununua Bulyanhulu na kama unao ushahidi wa kupinga hoja hii ulete hapa!
Hizo hisa amenunua au amehongwa? Je kama amenunua pesa aliyonunulia ameilipia kodi kihalali? Na kama hivyo ndivyo tunaruhusu rais kufanya biashara anapokuwa madarakani?
Nafikiri ukisoma post yangu utaona, sijaribu kumtetea wala kumzungumzia JK. Ninaongelea ANY president or minister.
Najaribu kuangalia in wider context...Je tukiwa na situations nilizotaja hawa viongozi wafanye nini?
Jana alikuwepo BWM, leo yupo JK na kesho unaweza ukawepo wewe. Sasa najaribu kuangalia situation kama ile iki"arise" wewe utakuwa na makosa?
What should he do if he happens to have shares in a company and that company invests in his country? Should he sell all his shares then?
OR
Lets put it this way, a company that has a president or minister of certain country is not allowed to do any work in that particular country?
kichuguu,mwanakijiji,dua,....
...jamani naomba mnielekeze ni wapi imeonyeshwa kwamba JK na Msabaha wana hisa ktk kampuni ya Barick.
nimejaribu kuisoma document iliyoambatanishwa hapa na sijaona mahali JK na Msabaha wakitajwa kama shareholders wa Barick.
Mwanakijiji said:Joka Kuu.. mwenye jibu hilo ni mimi. Doc uliyoiona wewe hapa siyo ninayoizungumzia mimi. Siyo tu kwamba wana hisa, bali wanatajwa pia kuwa ni maafisa wa Tanzania Royalty. Halafu usichanganye, Kikwete na Msabaha siyo wana hisa wa Barrick Gold, bali Tanzania Royalty Exploration (formerly, Tan Range) ambayo inaongozwa na Sinclair.
....unaonekana na wewe ni mwizi tuu na kama sio mwizi ni mnazi tuu asiye na akili,unajaribu bogus spin zako ambazo ni za kitoto sana na watu kama nyie ni hatari sana kwa nchi kuliko hao wanao sign huo wizi wa mali zetu.
He should declare his interest like the Bunge's have to do in parliament.The very act of doing so will make him extra caustious,knowing he will be closely watched.The secreacy with which these guys do things is what creates suspicion/doubt of corrupt practices.By nature, they are dishonest.They are now competing with each other for the Richest man in CCM.
the twist ni kuwa Barrick God waliingia mkataba na Tanzania Royalty wa kununua hisa karibu laki saba na ushee za Tanzania Royalty, na hivyo Barrick ni mojawapo ya wenye hisa wakubwa wa Tanzania Royalty. Hivyo, wanapopata leseni nyingi za kuchimba madini (sasa hivi wanasubiri ya Kabanga) unafikiri nani naye anapata njuluku zaidi?
Koba, Dua and the like need to learn how to discuss issues. Tatizo la wajinga, hawawezi kubishana na HOJA .Ikianzishwa thread ya matusi nina uhakika hawa mchango wao utakuwa mzuri sana!!