Thread ya 2016 kiongozi....!
!
Kwani si kakamatwa huyu au?
Mzalendo fr James Rugemarila amesema yupo tayari kuhakikisha majipu yanayonyonya uchumi wa nchi Hii yanatumbuliwa! Hayo amesema Leo ktk hafla ya kumbukumbu ya kumkumbuka ya miaka minne ya kifo cha mjukuu wake (Isabela) nyumbani kwake!
Namtakia kazi njema ktk kuhakikisha majipu yanatumbuliwa!
Go fr James, Go on my role model!
Jifunze kuangalia muda. Uzi wa lini huu? Why uko umeiburiwa? Usikurupute kuweka comment au swali!
!
Kwani si kakamatwa huyu au?
Hunt whaat u can kill.,....Duuh.... The hunter has become the hunted...
Mkuu wewe ni anko kidevu nini...mana sio kwa jazba hii.nyambaff!. washatuona sasa sisi ni mabweeege iko siku watajua wanao wacheze si kizazi cha mwaka 1961....