Cannibal OX
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,197
- 3,599
Sawa.
Anafumuliwa nyuma na baadhi ya vigogo ndo maana anapesa, ukimuona sasa hivi tako linazidi la SnuraHuyu kijana ambaye amekuwa anajinasibu kijana kindakindaki wa ccm na magufuli siku za usoni amekuwa anatoa misaada sana tena ya pesa nyingi tu
Swali langu ni je hizi pesa anatoa wapi? Kwa maana hana kazi wala biashara ama anatumika tu?![]()
Hana kazi, kazi yake kubwa ni kufumuliwa kabatiMleta maada unaweza kuzibitisha pasipo kuacha shaka kama huyo jamaa kweli hana kaz?
Mbona wew hawakupi ukatoe misaada?Unawasiwasi gani hizo ni pesa zetu za kodi, hizo press zao ni kiki tu, pesa yetu inatumika tunavyotaka wananchi. Ukifumba macho usimuone huyo Mwakabinga, utaona pesa ya kodi imenunua vifaa vya maabara.
Hahaha unadhani akitoa yeye anafaidi nini?!Mbona wew hawakupi ukatoe misaada?
Marinda yalikuwepo?Huyu dogo nasikia moja ya sababu kukimbia jkt ni kuwa baada ya vipimo kiafya ili kujiunga na jwtz alikuwa na kasoro fulani hivi nmeshindwa sema maana sina uhakika
Hahahah kwahiyo kahamia upande gan mkuu?Pia kile kidemu kilicho mbadili dini kwao kiko njema..! chezea pesa ww mpaka ukatoliki kaukimbia!
Elimu Elimu ElimuAkitoa Lema ama Mnyika tusingesikia maswali haya ya kipuuzi ,nani anatangaza hela alikozitoa?
aah wapikuna forex, watu wanadownload pesa nyumbani.
Viongozi wabovu wa kesho hujiandaa wenyew leo huku tukiwa tunawaona kabisaEti madai anajindaa kuwa kiongozi wa kesho. Pumbavu sana......majitu kama haya mataka sifa huwa hayatakiwi hata kukaimu kiti cha mwenyekiti wa serikali za mtaa