YawezekanaAnatumika mkuu.....hapo yupo MAKONDA nyuma yake nadhan jamaa anatafutiwa cheo fulani hiv
Aya ni majungu ya kike!wewe inakuhusu nini kupata kwake pesa!hii nchi bhanaHuyu kijana ambaye amekuwa anajinasibu kijana kindakindaki wa ccm na magufuli siku za usoni amekuwa anatoa misaada sana tena ya pesa nyingi tu
Swali langu ni je hizi pesa anatoa wapi? Kwa maana hana kazi wala biashara ama anatumika tu?![]()
Aya ya ngapi inayoeleza kuhusu majungu, na ni kitabu gani?Aya ni majungu ya kike!wewe inakuhusu nini kupata kwake pesa!hii nchi bhana
Dogo alikuwa bega kwa bega sana na makonda kipindi kie uvccm sasa kwa nguvu aliyonayo mako kwa nini asimuombee tu direct ka nafasi kuliko hii ya mara misaada mara sisi tanzania mpya mara matokeo chanya mara tukutane kaziniAnatumika mkuu.....hapo yupo MAKONDA nyuma yake nadhan jamaa anatafutiwa cheo fulani hiv
Pia kile kidemu kilicho mbadili dini kwao kiko njema..! chezea pesa ww mpaka ukatoliki kaukimbia!Anatumika mkuu.....hapo yupo MAKONDA nyuma yake nadhan jamaa anatafutiwa cheo fulani hiv
Huyu kijana ambaye amekuwa anajinasibu kijana kindakindaki wa ccm na magufuli siku za usoni amekuwa anatoa misaada sana tena ya pesa nyingi tu
Swali langu ni je hizi pesa anatoa wapi? Kwa maana hana kazi wala biashara ama anatumika tu?![]()
wanaume ndo wanamajungu kuliko wanawake koma.......... tafiti zimefanywa zinaonyesha hivyoAya ni majungu ya kike!wewe inakuhusu nini kupata kwake pesa!hii nchi bhana
atakuwa anaoza 0Umekuja kujitetea? Ama unamtetea? Lazima tujue pesa anazotoa misaada anatoa wapi? Hana kazi hana biashara anatoa wapi
HABARI,
"aka2030,
Mkuu mbona unatuangusha Ulishafika Step Nzuri ya kujua Hana kazi wala Biashara hiyo ni hatua nzuri usiishie njiani endelea mpaka ujue anapotoa hizo pesa uje na majibu kamili Kamanda.
LUMUMBA
yule kazi anayo na anafanya kazi maalum... na vijana wengi wa UVCCM walipo ktk nafasi za juu za uongozi ni watu wa kazi maalum wao ni wa kutumwa na kutii...best post in this thread!!
Ameuliza anakozipata tu mkuu, mana haijulikani vyanzo vya kuzipata kwake, au kuna ubaya Mzee?Aya ni majungu ya kike!wewe inakuhusu nini kupata kwake pesa!hii nchi bhana
Akitoa Lema ama Mnyika tusingesikia maswali haya ya kipuuzi ,nani anatangaza hela alikozitoa?Huyu kijana ambaye amekuwa anajinasibu kijana kindakindaki wa ccm na magufuli siku za usoni amekuwa anatoa misaada sana tena ya pesa nyingi tu
Swali langu ni je hizi pesa anatoa wapi? Kwa maana hana kazi wala biashara ama anatumika tu?![]()