James Ole Milya anafaa kugombea ubunge Arusha mjini

Arusha imeishakumbwa na siasa chafu za ubaguzi, zilizoasisiwa na Ole Medeye, kuwa Wachagga Arusha wameifanya kama ndio kwao na haina wenyewe!. Japo raia yoyote Mtanzania, anao uhuru wa kugombea jimbo lolote, ila ni kabila moja tuu ndilo linaloongoza kwa kutoa wabunge wa kabila hilo kwenye mikoa ya wenzao!, wewe nenda kagombee huko kwao, kama hutasikia neno anani amchague "kyasaka!".

Sikumbuki mara ya Mwisho kwa jimbo la Arusha kushikwa na mtoto wa nyumbani ni lini?!. Tatizo la Arusha ni mji wa machalii, Lema ni chalii, sijui kama Milya ni chalii, ushindi wa Lema, ulifanikishwa na ma Don wa Kichagga wakiongozwa na Mrema wa Impala, Naura na Ngurdoto!, kufuatia zile vurugu za maadamano, don huyu alijuta!, akajiapiza Lema harudi 2015!, Arusha haiongei siasa, inaongea pesa tuu!. Chadema msimamisheni tena kipenzi cha wana Arusha na jimbo mlirudishe CCM kama mgombea wa CCM ataungwa mkono na ma don wa AR!.

Pasco.

Pasco, if you live a please life try to please others
 
LEMA anaenda Jimbo la HAI litakaloachwa wazi na Mbowe anayeenda Moshi Mjini.

Arusha imeshamchoka huyu Kamanda.

umeshakuwa mtabiri wa mambo ya chadema acha unafiki Lema hapa Arusha hatoki daima
 
Arusha imeishakumbwa na siasa chafu za ubaguzi, zilizoasisiwa na Ole Medeye, kuwa Wachagga Arusha wameifanya kama ndio kwao na haina wenyewe!. Japo raia yoyote Mtanzania, anao uhuru wa kugombea jimbo lolote, ila ni kabila moja tuu ndilo linaloongoza kwa kutoa wabunge wa kabila hilo kwenye mikoa ya wenzao!, wewe nenda kagombee huko kwao, kama hutasikia neno anani amchague "kyasaka!".

Sikumbuki mara ya Mwisho kwa jimbo la Arusha kushikwa na mtoto wa nyumbani ni lini?!. Tatizo la Arusha ni mji wa machalii, Lema ni chalii, sijui kama Milya ni chalii, ushindi wa Lema, ulifanikishwa na ma Don wa Kichagga wakiongozwa na Mrema wa Impala, Naura na Ngurdoto!, kufuatia zile vurugu za maadamano, don huyu alijuta!, akajiapiza Lema harudi 2015!, Arusha haiongei siasa, inaongea pesa tuu!. Chadema msimamisheni tena kipenzi cha wana Arusha na jimbo mlirudishe CCM kama mgombea wa CCM ataungwa mkono na ma don wa AR!.

Pasco.

Mkuu pasco. Hili la ubaguzi nalikumbuka vizuri sana.. Lema alifanya siasa chafu sana Arusha. dhidi ya Batilda..,kulikuwa na uzushi.kuwa Batilda akishinda ubunge arusha atafunga mabucha yote ya kitimoto pamoja na kituo cha redio Safina.
Lema anajiamini sana Arusha kwa sababu kuu mbili..Anabebwa na Wachagga pamoja na machalii wa Arusha.. Ndio maana kauli nyingi za Lema ni ujinga tu wa kuwafurahisha machalii wa Arusha,,
 
Wakuu kuna tetesi kuwa James ole Milya anataka kugombea ubunge Arusha mjini mwaka ujao. Mimi naona anafaa zaidi ya mbunge wetu wa sasa Godbless Lema. Godbless Lema amefanya kazi kubwa kuimarisha chama chetu CHADEMA na amewaimarisha vijana na kuwafanya jasiri wa kujua na kudai haki zao. Ni vema sasa akapandishwa cheo na apewe nafasi iliyoachwa na John Mnyika ya Ukatibu Mwenezi na uhamasishaji ili apewe wigo mpana wa kuongeza wanachama na wapenzi nchi nzima. Kwa wasiomfahamu James ole Milya yeye ni mwanasheria, ni kijana wa Kimasai na anaweza kutuletea mawazo mapya ya maendeleo katika jiji letu hasa pale halmashauri ambapo mikataba ya hovyo na ya kifisadi inatengenezwa na hatuoni maendeleo.
Wakuu mwaonaje ?

unaonekana una kipaji cha kutunga umbea na unafiki ushauri wa bure mtafute Mzee Yusufu ukaimbe taarabu huko utaibika bure au ukaungane na wanafiki wenzako ccm mambo ya CDM hayakuhusu
 
Siamini hiyo kazi kubwa iko wapi. Usianze kutishia watu washindwe kisaikolojia... au ndo wewe mwenye jimbo unajihami?

Mimi siyo mwenye jimbo ila nasema ukweli halisi kwamba Sendeke ni kipenzi cha wanasimanjiro. James ole Millya haeleweki kisiasa na hata kwenye maisha yake binafsi. Huyu kijana alipata nafasi nzuri ya kujijenga kisiasa lakini aliipoteza. Kuhusu yeye kuwa mshirika wa mamvi siyo kweli, zamani sawa lakini sasa hivi hapana. Jimbo la Arusha ushauri wa bure ni kwamba asijaribu kutia mguu ataaibika bure.
 
LEMA anaenda Jimbo la HAI litakaloachwa wazi na Mbowe anayeenda Moshi Mjini.

Arusha imeshamchoka huyu Kamanda.

Tunaomba utudhibitishie hilo. Narudia tena hakuna wakumshinda Sendeka Simanjiro should the ground be level. NARUDIA KWA HERUFI KUBWA HAKUNA WAKUMSHINDA OLE SENDEKA.

Hapo awali kulikuwa na vijana wawili ambao ni ole Nkanasa na ole Millya lakini hawa vijana lifestyle yao haikubaliki na wanajimbo. Hawa wanaishi in utopia, wako mbali na wanachi. Wananchi hawewezi kuwaamini hata kidogo.
 
Arusha imeishakumbwa na siasa chafu za ubaguzi, zilizoasisiwa na Ole Medeye, kuwa Wachagga Arusha wameifanya kama ndio kwao na haina wenyewe!. Japo raia yoyote Mtanzania, anao uhuru wa kugombea jimbo lolote, ila ni kabila moja tuu ndilo linaloongoza kwa kutoa wabunge wa kabila hilo kwenye mikoa ya wenzao!, wewe nenda kagombee huko kwao, kama hutasikia neno anani amchague "kyasaka!".

Sikumbuki mara ya Mwisho kwa jimbo la Arusha kushikwa na mtoto wa nyumbani ni lini?!. Tatizo la Arusha ni mji wa machalii, Lema ni chalii, sijui kama Milya ni chalii, ushindi wa Lema, ulifanikishwa na ma Don wa Kichagga wakiongozwa na Mrema wa Impala, Naura na Ngurdoto!, kufuatia zile vurugu za maadamano, don huyu alijuta!, akajiapiza Lema harudi 2015!, Arusha haiongei siasa, inaongea pesa tuu!. Chadema msimamisheni tena kipenzi cha wana Arusha na jimbo mlirudishe CCM kama mgombea wa CCM ataungwa mkono na ma don wa AR!.

Pasco.

Pasco,
Arusha iko safi,mtu yeyote ambaye yuko tayari kutetea wanyonge atachaguliwa,hakuna siasa za ubaguzi ndani ya chadema. Mahala popote ccm ikianguka inatumia ukabila kama nguzo ya kuegemea angalia nzega,arusha,kigoma, mwanza kwa wenje ccm ilisingizia ukabila.
Millya wanachadema kama wataona anafaa atachaguliwa,suala la Lema kuwa nani ni la wanachadema,wakiona anafaa hapa watampa,
Uongozi kwetu ni kazi si ahadi hewa na mameno tupu
 
Sendeka kule Simanjiro anapumulia mashine. Akisimama na Ole Milya atajamba cheche na sidhani kama ccm watakuwa wajinga kiasi hicho kumrudisha Ole Sendeka ešti asimame na Ole Milya! Mpango uliopo ni kumsimamisha Mkuu Wa wilaya ya Kakonko nimemsahau jina lake, pia kuna yule mkurugenzi Wa shirika lenye ile radio ya ORS huwa anapigiwa chapuo na ccm achukue nafasi ya Ole Sendeka!

Mkuu wa shirika la ORS anaitwa Martin ole Sanago. Yule bwana hana mvuto kwa wananchi na yeye siyo mwanasiasa na hapendi siasa, ila wanasiasa wa Simanjiro wanamuogopa sana.

Kuhusu mkuu wa Wilaya ya Kakonko ndugu Peter ole Toima akiamua kogombea ubunge naye pia hatakuwa na impact yeyote ile kwa Ole Sendeka. Ifahamike kuwa iwapo Toima atagombea wananchi wanaweza kupiga kura za hasira dhidi ya incubent. Kuna dhana iliyojengeka miongoni mwawapiga kura kwamba Sendeke alichangia kwa ole Toima kuhamishwa kituo kutoka Simanjiro kwenda Kakonko baada ya kutoka Wilaya ya Rombo.

Mtu ambaye akiamua kugombea simanjro anaweza kubadili upepo siyo James Millya lakini ni Mwenyekiti wa chama mkoa wa Manyara Luka ole Mukusi. Kwa hiyo bado msimamo wangu kwa hili la Simanjiro ole Sendeke at the moment is the man to watch and confidently can dare to say he is the king maker of Simanjoro politics.
 
Wakuu kuna tetesi kuwa James ole Milya anataka kugombea ubunge Arusha mjini mwaka ujao. Mimi naona anafaa zaidi ya mbunge wetu wa sasa Godbless Lema. Godbless Lema amefanya kazi kubwa kuimarisha chama chetu CHADEMA na amewaimarisha vijana na kuwafanya jasiri wa kujua na kudai haki zao. Ni vema sasa akapandishwa cheo na apewe nafasi iliyoachwa na John Mnyika ya Ukatibu Mwenezi na uhamasishaji ili apewe wigo mpana wa kuongeza wanachama na wapenzi nchi nzima. Kwa wasiomfahamu James ole Milya yeye ni mwanasheria, ni kijana wa Kimasai na anaweza kutuletea mawazo mapya ya maendeleo katika jiji letu hasa pale halmashauri ambapo mikataba ya hovyo na ya kifisadi inatengenezwa na hatuoni maendeleo.
Wakuu mwaonaje ?
Lema arusha inamuhusu sana,

Ole Millya tumempa kazi maalumu ya kumchomoa Olesendeka.
 
Lema ni mbunge wa kudumu arusha mpaka aseme sitaki tena milya ni mbunge wa simanjiro mtoa mada umejichanganya kidogo milya ndiyo kiboko wa olesendeka
 
Mkuu wa shirika la ORS anaitwa Martin ole Sanago. Yule bwana hana mvuto kwa wananchi na yeye siyo mwanasiasa na hapendi siasa, ila wanasiasa wa Simanjiro wanamuogopa sana.

Kuhusu mkuu wa Wilaya ya Kakonko ndugu Peter ole Toima akiamua kogombea ubunge naye pia hatakuwa na impact yeyote ile kwa Ole Sendeka. Ifahamike kuwa iwapo Toima atagombea wananchi wanaweza kupiga kura za hasira dhidi ya incubent. Kuna dhana iliyojengeka miongoni mwawapiga kura kwamba Sendeke alichangia kwa ole Toima kuhamishwa kituo kutoka Simanjiro kwenda Kakonko baada ya kutoka Wilaya ya Rombo.

Mtu ambaye akiamua kugombea simanjro anaweza kubadili upepo siyo James Millya lakini ni Mwenyekiti wa chama mkoa wa Manyara Luka ole Mukusi. Kwa hiyo bado msimamo wangu kwa hili la Simanjiro ole Sendeke at the moment is the man to watch and confidently can dare to say he is the king maker of Simanjoro politics.
Hapo mkuu umedadavua vizuri!

Ni kweli Martin siyo mwanasiasa, ila jamaa huwa wanamhofia ile mbaya. Hata viongozi wa juu wa ccm wenyewe wanamkubali kwamba akiingia kwenye siasa watapata mtelemko kwenye kampeni. Mara nyingi sana amefuatwa ili apewe vile vyeo vya asante lakini jamaa amewatolea nje mara zote! Kwa Peter Toima sina uhakika. Ila Simanjiro safari hii Ole Sendeka lazima abwagwe, wewe subiri kama siyo kwenye kura za maoni, basi ni kwenye kura zenyewe! Hivi ni kipi alichokifanya mpaka wana-Simanjiro wamrudishe tena? Jimbo liko choka mbaya!! Ila Simanjiro kuna msururu wa wagombea tarajari, Peter Toima, Martin kariongi, akina Porokwa, Ole Kone (mkuu wa mkoa Singida). Ngoja tusubiri hii ngoma!!
 
Mambo Ya Chadema tutajua sisi wenyewe chadema msiwe watabiri wa Chadema Wakati ukifika mtatarifiwa. Asanteni Chadema Mbele wengine wanafuatia
 
Mkuu wa shirika la ORS anaitwa Martin ole Sanago. Yule bwana hana mvuto kwa wananchi na yeye siyo mwanasiasa na hapendi siasa, ila wanasiasa wa Simanjiro wanamuogopa sana.

Kuhusu mkuu wa Wilaya ya Kakonko ndugu Peter ole Toima akiamua kogombea ubunge naye pia hatakuwa na impact yeyote ile kwa Ole Sendeka. Ifahamike kuwa iwapo Toima atagombea wananchi wanaweza kupiga kura za hasira dhidi ya incubent. Kuna dhana iliyojengeka miongoni mwawapiga kura kwamba Sendeke alichangia kwa ole Toima kuhamishwa kituo kutoka Simanjiro kwenda Kakonko baada ya kutoka Wilaya ya Rombo.

Mtu ambaye akiamua kugombea simanjro anaweza kubadili upepo siyo James Millya lakini ni Mwenyekiti wa chama mkoa wa Manyara Luka ole Mukusi. Kwa hiyo bado msimamo wangu kwa hili la Simanjiro ole Sendeke at the moment is the man to watch and confidently can dare to say he is the king maker of Simanjoro politics.
No one operates at loss,mkuu hongera kwa kazi nzuri ya kumtetea na kumpigania Ole Sendeka.
 
Kweli kabisa.. Ni muda wa wana Arusha kuwa na mbunge mzawa.. Lema anafanya vurugu Arusha kwa sababu sio kwao..Aende akagombee ubunge kwao Moshi

Nape anagombea jimbo la Chalinze na Makonda Anaenda kugombea jimbo la Iramba
 
Mkuu wa shirika la ORS anaitwa Martin ole Sanago. Yule bwana hana mvuto kwa wananchi na yeye siyo mwanasiasa na hapendi siasa, ila wanasiasa wa Simanjiro wanamuogopa sana.

Kuhusu mkuu wa Wilaya ya Kakonko ndugu Peter ole Toima akiamua kogombea ubunge naye pia hatakuwa na impact yeyote ile kwa Ole Sendeka. Ifahamike kuwa iwapo Toima atagombea wananchi wanaweza kupiga kura za hasira dhidi ya incubent. Kuna dhana iliyojengeka miongoni mwawapiga kura kwamba Sendeke alichangia kwa ole Toima kuhamishwa kituo kutoka Simanjiro kwenda Kakonko baada ya kutoka Wilaya ya Rombo.

Mtu ambaye akiamua kugombea simanjro anaweza kubadili upepo siyo James Millya lakini ni Mwenyekiti wa chama mkoa wa Manyara Luka ole Mukusi. Kwa hiyo bado msimamo wangu kwa hili la Simanjiro ole Sendeke at the moment is the man to watch and confidently can dare to say he is the king maker of Simanjoro politics.

Mwenyekiti wa chama gani? Mkuu upo vizuri Hongera Sana.
 
Arusha imeishakumbwa na siasa chafu za ubaguzi, zilizoasisiwa na Ole Medeye, kuwa Wachagga Arusha wameifanya kama ndio kwao na haina wenyewe!. Japo raia yoyote Mtanzania, anao uhuru wa kugombea jimbo lolote, ila ni kabila moja tuu ndilo linaloongoza kwa kutoa wabunge wa kabila hilo kwenye mikoa ya wenzao!, wewe nenda kagombee huko kwao, kama hutasikia neno anani amchague "kyasaka!".

Sikumbuki mara ya Mwisho kwa jimbo la Arusha kushikwa na mtoto wa nyumbani ni lini?!. Tatizo la Arusha ni mji wa machalii, Lema ni chalii, sijui kama Milya ni chalii, ushindi wa Lema, ulifanikishwa na ma Don wa Kichagga wakiongozwa na Mrema wa Impala, Naura na Ngurdoto!, kufuatia zile vurugu za maadamano, don huyu alijuta!, akajiapiza Lema harudi 2015!, Arusha haiongei siasa, inaongea pesa tuu!. Chadema msimamisheni tena kipenzi cha wana Arusha na jimbo mlirudishe CCM kama mgombea wa CCM ataungwa mkono na ma don wa AR!.

Pasco.

Dogo pasco kwanza nikupongeze kwa kujaribu kufatilia siasa za arusha lakini "Source" yako ya habari itakuwa sio ya uhakika

let me tell u this and not it down

Nikweli kwamba siasa za arusha zina RAFU nyingi sana

G.J.LEMA ni mbunge wa kudumu wa Arusha hakuna wa kumuangusha jimbo la Arusha naninathubutu kusema wa kupambana na lema BADO HAJAZALIWA

ole medeye mwisho wake kuwa mbunge Arumeru Magharibi ni July 2015

ole milya anayo kazi kubwa kumuangusha sendeka lakini kumbuka millya anapewa support na Eddo hivyo sendeka hali yake ni mbaya....
 
Back
Top Bottom