James Ole Milya anafaa kugombea ubunge Arusha mjini

labda kama hajipendi. kitofa kitamhusu. amuulize samson mwigamba kabla hajathubutu hiyo kitu.

Wakuu kuna tetesi kuwa James ole Milya anataka kugombea ubunge Arusha mjini mwaka ujao. Mimi naona anafaa zaidi ya mbunge wetu wa sasa Godbless Lema. Godbless Lema amefanya kazi kubwa kuimarisha chama chetu CHADEMA na amewaimarisha vijana na kuwafanya jasiri wa kujua na kudai haki zao. Ni vema sasa akapandishwa cheo na apewe nafasi iliyoachwa na John Mnyika ya Ukatibu Mwenezi na uhamasishaji ili apewe wigo mpana wa kuongeza wanachama na wapenzi nchi nzima. Kwa wasiomfahamu James ole Milya yeye ni mwanasheria, ni kijana wa Kimasai na anaweza kutuletea mawazo mapya ya maendeleo katika jiji letu hasa pale halmashauri ambapo mikataba ya hovyo na ya kifisadi inatengenezwa na hatuoni maendeleo.
Wakuu mwaonaje ?
 
Yani ukawa wagawane na kuachiana majimbo kama Vunjo halafu unakuja na porojo eti chadema wanyang'anyane jimbo? Nimeshachangia kwenye bandiko lako kama ndio shida yako
 
Nape anagombea jimbo la Chalinze na Makonda Anaenda kugombea jimbo la Iramba

Nacho jaribu kufanya hapa nikueleza hali halisi.NNajua kwa mwana siasa ukweli utakuwa na sura mbaya. Ifahamike kwa mgombea yeyote ule siasa ni idadi ya watu aliyonayo mtu. Ole Sendeka kwa sasa hivi has the numbers, kwa hiyo hata akiamua kugombea nje ya CCM bado atadhinda tu.

Pia sidhani kwa hulka ya ole Sendeka ya kupenda kupinga uovu ndani ya CCM kama vile alivyokomaa na hili la IPTL, siyo vizuri angeendelea kuwa mwanachama wa CCM, pengine awemimpiga kelele za ovyo akiwa kuna lile la kwake binafsi anolitafuta. Lakini kelele zake zile ni muhimu sana kwenye upande wa pili wa siasa.
 
Back
Top Bottom