Ni ukweli uliowazi kuwa Mbatia anakwenda kuwa KUB uchaguzi wa mwaka huu hii ni kutokana na chadema sisi chama chetu kimefubaa na kukimbiwa tumebaki hatuna mtaji wa kutosha baada ya wanaharaki njaa kutukimbia na inavyoonekana kule Zanzibar ACT wazalendo watakuwa wapinzani wakuu na sisi huku bara NCCR Mageuzi kuchukua kiti hicho
Kosa kubwa tulilolifanya sisi kama chama ni kuruhusu wanaharakati kujaa na kuonekana ndio wapigania haki tukawathamini hao na kuwaacha wanasiasa ombi langu ni mzee Mbatia usikubali hayo yatokee na kuharibu upinzani hapa nchini.kina mdude.tundu.waitara.kigogo.fatuma.msigwa.mchage.lema .Jacob .Jericho bensaa8 na watu kama hao ni kelele tu mh Mbatia usikubal hili
Nakutakia kazi njema ya kujenga upinzani bora baada ya sisi chadema kuuchezea na kukimbia mijadala bungeni
Kukumweupe
Sent using Jamii Forums mobile app
Una chekesha walio kufa wewe!!
Kwanza ubunge ana patia wapi?
Ili aje kuwa KUB??
AMESHA ELEWEKA mrengo wake. Asubiri aje kupewa viti maalum kama wadada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes kwa malipo ya T.sh7,000 per day.
Mbatia keshatongozwa na Ccm hadi watoto wadogo wanajua hilo
Hivi kweli sasa hivi tunaendeleza malumbano ya kitoto ya siasa za kijima badala ya kumlilia Mungu aliepushe Taifa na maangamizi ya janga Hili la Corona? Mods kuna mada zingine humu zinatia kichefu chefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona mada zote humu za kuponda chadema unatuma peke yako
huoni aibu
I assure you.Zama za NCCR zimepitwa na wakati.
Mkuu siku hisi zile buku 7 hulipwa kwa idadi ya posti mnazotuma haba JF kama wahudumu wa baa wanavyolipwa kwa idadi ya visoda? Nimeona post 5 leo humu zote upinzani kipindi hiki cha Corona nikahisi muundo wa malipo umebadilika kutoka buku 7 per day mpaka buku 1 per post kama mishikaki ya Mbuzi!!
Mkuu una speed ya sonic.....juzi tu tarehe 14 mwezi huu........leo msg 642.....😀Mbatia muasisi wa Upinzani Tanzania, kijana msomi kutoka udsm ile iliyokuwa critical
Huyu kipaumbele kwake ni Tanzania, kipaumbele chake sio kuitana makamanda tu
Naweza kusema ni mpinzani wa kweli mno alifukuzwa shule ya u injinia Udsm kwa kuwatetea Watanzania Ndio maana alipongombea ubunge miaka ya 90 alishinda kwa kishindo
Ndani ya miaka kumi iliyopita tumekuwa na kiongozi wa upinzani bungeni anayetetea zaidi chama chake kuiko kutetea maslahi mapana ya Tanzania
Amekuwa mbunge kwa awamu tatu hana papara amewapigania Watanzania kwa hekima kubwa, Mbatia ukifika jimboni kwake ni kama amepeleka huduma zote za kijamii tofauti na Jimbo la Kub wa sasa ambako kuna shida ya maji na barabara
Kwa kuwa Chama cha upinzani Kilichopo hakitarudi bungeni tunakuomba Mbatia beba jahazi kuongoza Watanzania Katika mawazo mbadala
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mwamba si mgeni hata kidogo hapa Jukwaani.ID tu ndo ngeniMkuu una speed ya sonic.....juzi tu tarehe 14 mwezi huu........leo msg 642.....😀
Nimekuelewa mkuu.......amekuja kivingine....Huyu mwamba si mgeni hata kidogo hapa Jukwaani.ID tu ndo ngeni
Mkuu una speed ya sonic.....juzi tu tarehe 14 mwezi huu........leo msg 642.....😀
Kwa Mujibu wa MWL. J.K.Nyerere huyo mtu wako anaitwa mwanasiasa Malaya malaya. Anatongozwa na wanaume anakubali tuu. Hao Wanasiasa malaya malaya hatuta waruhusu watuvurugie nchi pamoja na mabwana zao inzi wa kijani. Ni aibu sana janaume zima kutongoxwa halaf unakubali nipo tayar *****.Mbatia muasisi wa Upinzani Tanzania, kijana msomi kutoka udsm ile iliyokuwa critical