Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Amepanda chati toka ccm C mpaka ccm B
Jr![]()
Hivi sasa James ni mbunge wa wapi?wa kuteuliwa au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Amepanda chati toka ccm C mpaka ccm B
Jr![]()
Chama pekee ambacho kimeitoa jasho system ya utawala Tanzania ni chadema. Hii ni kutokana kuwa na uongozi na taasisi ambazo haziyumbishi pamoja na kitengo makini cha ujasusi.
Vyama vingine vyote vimetawaliwa na kuongozwa na mawakala wa serikali ya ccm.
Chaadema imejitahidi sana na mwaka huu wakati wa uchaguzi system ilijitahidi sana kupandikiza watu katima safu za uongozi lakini wakadondokea pua wote.
NCCR ni chama ambacho toka kuanzishwa kwake kimeongozwa na mawakala wa system. Toka enzi za Mrema, marando, Hadi James mbatia .
Kumbuka kuomyesha kwamba James Mbatia ni mtu wa system iliyoko madarakani amewahi kuteuliwa na JK kuwa mbunge. Kama haitoshi James mbatia amekua passive hata kuliko wabunge wa ccm.
Haishangazi kuona James Mbatia anaye jifanya kuipenda serikali akiwa mpinzani, mbatia sio mpinzani.
Serikali ya Magufuli baada ya kuona wameshindwa kuwashawishi wananchi kuopenda ccm na kuachana na chadema , imeona njia pekee ni kuiua chadema kwa kuijenga ncce mageuzi.
Japo wasilo jua ii kwamba mfumo.wa chadema ji mfumo ambao wanachi wengi wanaona chadema ndio chama kinacho shikilia maslahi ya wananchi.
Kujua hilo angalia michango ya kuwatoa gerezani.
Kwa hiyo James mbatia na nccr yake ni tawi la chama tawala lililo jiegesha kwenye ukuta wa upinzani. Fullstop.View attachment 1448005
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna LOLOTECDM haina mwenyewe; CDM unaingia kwa hiari na ukitaka kutoka hivyo hivyo.
Ni chama pekee pendwa kwa vijana wasomi ambao wanapata nafasi ku explore talents zao za kisiasa, kijamii bila ubaguzi wowote.
Kufikiri kuiua CDM kwa sasa ni ndoto tena ya mchana kwa sababu:
1 . Chadema ina mizizi ndani ya usalama
2. Chadema ina mizizi ndani ya Serikali na idara zake
3. CDM ina mizizi ndani ya Bunge
Na ndiyo maana kila kitu kinachopangwa kibaya juu yake CDM inakidaka kabla hakijafanya madhara.

Una haki ya kumlaumu Mh. Mbatia kuwa sio mpinzani kwakuwa yeye hana tuhuma za ngono!Chama pekee ambacho kimeitoa jasho system ya utawala Tanzania ni chadema. Hii ni kutokana kuwa na uongozi na taasisi ambazo haziyumbishi pamoja na kitengo makini cha ujasusi.
Vyama vingine vyote vimetawaliwa na kuongozwa na mawakala wa serikali ya ccm.
Chaadema imejitahidi sana na mwaka huu wakati wa uchaguzi system ilijitahidi sana kupandikiza watu katima safu za uongozi lakini wakadondokea pua wote.
NCCR ni chama ambacho toka kuanzishwa kwake kimeongozwa na mawakala wa system. Toka enzi za Mrema, marando, Hadi James mbatia .
Kumbuka kuomyesha kwamba James Mbatia ni mtu wa system iliyoko madarakani amewahi kuteuliwa na JK kuwa mbunge. Kama haitoshi James mbatia amekua passive hata kuliko wabunge wa ccm.
Haishangazi kuona James Mbatia anaye jifanya kuipenda serikali akiwa mpinzani, mbatia sio mpinzani.
Serikali ya Magufuli baada ya kuona wameshindwa kuwashawishi wananchi kuopenda ccm na kuachana na chadema , imeona njia pekee ni kuiua chadema kwa kuijenga ncce mageuzi.
Japo wasilo jua ii kwamba mfumo.wa chadema ji mfumo ambao wanachi wengi wanaona chadema ndio chama kinacho shikilia maslahi ya wananchi.
Kujua hilo angalia michango ya kuwatoa gerezani.
Kwa hiyo James mbatia na nccr yake ni tawi la chama tawala lililo jiegesha kwenye ukuta wa upinzani. Fullstop.View attachment 1448005
Sent using Jamii Forums mobile app
Mizizi yote hiyo alaf mnalamikia kura kuibwaCDM haina mwenyewe; CDM unaingia kwa hiari na ukitaka kutoka hivyo hivyo.
Ni chama pekee pendwa kwa vijana wasomi ambao wanapata nafasi ku explore talents zao za kisiasa, kijamii bila ubaguzi wowote.
Kufikiri kuiua CDM kwa sasa ni ndoto tena ya mchana kwa sababu:
1 . Chadema ina mizizi ndani ya usalama
2. Chadema ina mizizi ndani ya Serikali na idara zake
3. CDM ina mizizi ndani ya Bunge
Na ndiyo maana kila kitu kinachopangwa kibaya juu yake CDM inakidaka kabla hakijafanya madhara.
Kwa hiyo James mbatia na nccr yake ni tawi la chama tawala lililo jiegesha kwenye ukuta wa upinzani. Fullstop.Chama pekee ambacho kimeitoa jasho system ya utawala Tanzania ni chadema. Hii ni kutokana kuwa na uongozi na taasisi ambazo haziyumbishi pamoja na kitengo makini cha ujasusi.
Vyama vingine vyote vimetawaliwa na kuongozwa na mawakala wa serikali ya ccm.
Chaadema imejitahidi sana na mwaka huu wakati wa uchaguzi system ilijitahidi sana kupandikiza watu katima safu za uongozi lakini wakadondokea pua wote.
NCCR ni chama ambacho toka kuanzishwa kwake kimeongozwa na mawakala wa system. Toka enzi za Mrema, marando, Hadi James mbatia .
Kumbuka kuomyesha kwamba James Mbatia ni mtu wa system iliyoko madarakani amewahi kuteuliwa na JK kuwa mbunge. Kama haitoshi James mbatia amekua passive hata kuliko wabunge wa ccm.
Haishangazi kuona James Mbatia anaye jifanya kuipenda serikali akiwa mpinzani, mbatia sio mpinzani.
Serikali ya Magufuli baada ya kuona wameshindwa kuwashawishi wananchi kuopenda ccm na kuachana na chadema , imeona njia pekee ni kuiua chadema kwa kuijenga ncce mageuzi.
Japo wasilo jua ii kwamba mfumo.wa chadema ji mfumo ambao wanachi wengi wanaona chadema ndio chama kinacho shikilia maslahi ya wananchi.
Kujua hilo angalia michango ya kuwatoa gerezani.
Kwa hiyo James mbatia na nccr yake ni tawi la chama tawala lililo jiegesha kwenye ukuta wa upinzani. Fullstop.View attachment 1448005
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe Chadema wana Tiss yao tofauti na ile central Tiss?Chama pekee ambacho kimeitoa jasho system ya utawala Tanzania ni chadema. Hii ni kutokana kuwa na uongozi na taasisi ambazo haziyumbishi pamoja na kitengo makini cha ujasusi.
Tayari kuna wabunge wa ccm kibao wameshaji-tune kuhia Chadema at any time T.Wanasiasa hawana vyama vya kudumu, ngoja CCM ikitolewa madarakani ndiyo utawajua vizuri
Ameen ameen Mtumishi.Chadema ni chama makini sana mbali na kuwindwa kuuwawa na kupotezwa kwa Viongozi wake lakini mapambano bado yanaendelea.
Vigogo na makada wa ccm na wakuu wa mikoa pamoja na Policcm hawapati usingizi bila ya kubugia vidonge vya presha.
Ee Mungu ibariki Chadema no hate no fear