James Mbatia ni mwanachama wa CCM 150%

James Mbatia ni mwanachama wa CCM 150%

Kama ndani ya CCM wataishia kuzunguruka tu
Tanzania hatuna tatizo la chama, tuna tatizo la watu.Unapoona watu wanazungumzia chama kama tatizo, hicho ni kiashiria kikuu cha tatizo walilonalo watu hao. Unapokuwa na watu wenye matatizo, chama chochote watakachokuwepo kitakuwa na tatizo; si kwa sababu chama hicho ni tatizo bali watu.

Kwa bahati mbaya hatuko tayari kuambiana wala kusikia tukiambiwa ukweli kwa sababu mbalimbali. Mwishowe tunajikuta tukizunguruka kwenye wimbi la ujinga huku jukijifanya tunajua.

In God we Trust
 
Chama pekee ambacho kimeitoa jasho system ya utawala Tanzania ni chadema. Hii ni kutokana kuwa na uongozi na taasisi ambazo haziyumbishi pamoja na kitengo makini cha ujasusi.

Vyama vingine vyote vimetawaliwa na kuongozwa na mawakala wa serikali ya ccm.

Chaadema imejitahidi sana na mwaka huu wakati wa uchaguzi system ilijitahidi sana kupandikiza watu katima safu za uongozi lakini wakadondokea pua wote.

NCCR ni chama ambacho toka kuanzishwa kwake kimeongozwa na mawakala wa system. Toka enzi za Mrema, marando, Hadi James mbatia .

Kumbuka kuomyesha kwamba James Mbatia ni mtu wa system iliyoko madarakani amewahi kuteuliwa na JK kuwa mbunge. Kama haitoshi James mbatia amekua passive hata kuliko wabunge wa ccm.

Haishangazi kuona James Mbatia anaye jifanya kuipenda serikali akiwa mpinzani, mbatia sio mpinzani.

Serikali ya Magufuli baada ya kuona wameshindwa kuwashawishi wananchi kuopenda ccm na kuachana na chadema , imeona njia pekee ni kuiua chadema kwa kuijenga ncce mageuzi.

Japo wasilo jua ii kwamba mfumo.wa chadema ji mfumo ambao wanachi wengi wanaona chadema ndio chama kinacho shikilia maslahi ya wananchi.

Kujua hilo angalia michango ya kuwatoa gerezani.

Kwa hiyo James mbatia na nccr yake ni tawi la chama tawala lililo jiegesha kwenye ukuta wa upinzani. Fullstop.View attachment 1448005

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu Chadema nyie sio wapinzani bali ni wapingaji. Kuwa opposition party sio kupinga kila kitu. Kama chama tawala kinatekeleza ilani ya uchaguzi inavyotaliwa haina budi kupongeza. Sasa mnataka Mbatia awe kama nyie.
Siasa sio uadui.
 
Uzuri ni kwamba wote wanatafuta ugali awe Mbatia au Mbowe wote naona wanajitafutia ugali. Sisi washabiki tuwe tunashangilia kila upande wowote huku tukijitafutia chakula tusibweteke!!!!
 
Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni mwakani mh mbatia
 
Unakuaje mpinzani kama sio mpingaji

Uliona wapi timu pinzani inapigia pasi timu nyingine.
Tatizo lenu Chadema nyie sio wapinzani bali ni wapingaji. Kuwa opposition party sio kupinga kila kitu. Kama chama tawala kinatekeleza ilani ya uchaguzi inavyotaliwa haina budi kupongeza. Sasa mnataka Mbatia awe kama nyie.
Siasa sio uadui.
 
Ni kwrli mko makini maana mlimchukua makada wa ccm mkaacha makada wenu ili wagombee nafasi ya urais halafu baadae wakawakimbia
 
Mbatia anajielewa yule hata michango yake iwe Bungeni hata nje ya Bunge ina tija,huwa hatukani kama yale manyumbu ya ufipa.Mtu anaongea mishipa imemtoka kama ametoka kutafuna ngozi ya ng'ombe kavu,yaani kama anagombana na mtu, angalia Heche,Mbowe,Msigwa,Bulaya,Bdee nk wakiwa wanaongea ni aibu kweli kweli.They are not settled at all,let them learn how to make impressive presentations from Mr Mbatia.
 
Chadema ni chama makini sana mbali na kuwindwa kuuwawa na kupotezwa kwa Viongozi wake lakini mapambano bado yanaendelea

Vigogo na makada wa ccm na wakuu wa mikoa pamoja na Policcm hawapati usingizi bila ya kubugia vidonge vya presha

Ee Mungu ibariki Chadema no hate no fear
Na ile kashfa yake vipi ile nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbatia sio mpnzani alikua ccm C ame upgrade kuwa ccm B.

Kwa ujinga unao fanywa na ccm, huwezi nyamazia kama sio mmoja wao.
Mbatia anajielewa yule hata michango yake iwe Bungeni hata nje ya Bunge ina tija,huwa hatukani kama yale manyumbu ya ufipa.Mtu anaongea mishipa imemtoka kama ametoka kutafuna ngozi ya ng'ombe kavu,yaani kama anagombana na mtu, angalia heche,mbowe,msigwa,bulaya,mdee nk wakiwa wanaongea ni aibu kweli kweli.They are not settled at all,let them learn how to make impressive presentations from Mr Mbatia.
 
Back
Top Bottom