James Mbatia ni mwanachama wa CCM 150%

James Mbatia ni mwanachama wa CCM 150%

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,702
Chama pekee ambacho kimeitoa jasho system ya utawala Tanzania ni chadema. Hii ni kutokana kuwa na uongozi na taasisi ambazo haziyumbishi pamoja na kitengo makini cha ujasusi.

Vyama vingine vyote vimetawaliwa na kuongozwa na mawakala wa serikali ya ccm.

Chaadema imejitahidi sana na mwaka huu wakati wa uchaguzi system ilijitahidi sana kupandikiza watu katima safu za uongozi lakini wakadondokea pua wote.

NCCR ni chama ambacho toka kuanzishwa kwake kimeongozwa na mawakala wa system. Toka enzi za Mrema, marando, Hadi James mbatia .

Kumbuka kuomyesha kwamba James Mbatia ni mtu wa system iliyoko madarakani amewahi kuteuliwa na JK kuwa mbunge. Kama haitoshi James mbatia amekua passive hata kuliko wabunge wa ccm.

Haishangazi kuona James Mbatia anaye jifanya kuipenda serikali akiwa mpinzani, mbatia sio mpinzani.

Serikali ya Magufuli baada ya kuona wameshindwa kuwashawishi wananchi kuopenda ccm na kuachana na chadema , imeona njia pekee ni kuiua chadema kwa kuijenga ncce mageuzi.

Japo wasilo jua ii kwamba mfumo.wa chadema ji mfumo ambao wanachi wengi wanaona chadema ndio chama kinacho shikilia maslahi ya wananchi.

Kujua hilo angalia michango ya kuwatoa gerezani.

Kwa hiyo James mbatia na nccr yake ni tawi la chama tawala lililo jiegesha kwenye ukuta wa upinzani. Fullstop.
FB_IMG_1589226683418.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema ni chama makini sana mbali na kuwindwa kuuwawa na kupotezwa kwa Viongozi wake lakini mapambano bado yanaendelea.

Vigogo na makada wa ccm na wakuu wa mikoa pamoja na Policcm hawapati usingizi bila ya kubugia vidonge vya presha.

Ee Mungu ibariki Chadema no hate no fear
 
Tanzania hatuna tatizo la chama, tuna tatizo la watu.Unapoona watu wanazungumzia chama kama tatizo, hicho ni kiashiria kikuu cha tatizo walilonalo watu hao. Unapokuwa na watu wenye matatizo, chama chochote watakachokuwepo kitakuwa na tatizo; si kwa sababu chama hicho ni tatizo bali watu.

Kwa bahati mbaya hatuko tayari kuambiana wala kusikia tukiambiwa ukweli kwa sababu mbalimbali. Mwishowe tunajikuta tukizunguruka kwenye wimbi la ujinga huku jukijifanya tunajua.
 
Rekebisha kichwa cha habari, kimahesabu hakuna asilimia zaidi ya Mia moja. Aidha hiyo ni probability ya kuwa ikidhihirika kuwa si mwanachama wa CCM ni 0 asilimia na ikidhihirika kuwa ni mwnachama wa CCM ni asilimia 100. Hivyo ukisema ni asilimia 100 mwanachama wa CCM basi hiyo ni statement wala si maoteo probably
 
CDM haina mwenyewe; CDM unaingia kwa hiari na ukitaka kutoka hivyo hivyo.

Ni chama pekee pendwa kwa vijana wasomi ambao wanapata nafasi ku explore talents zao za kisiasa, kijamii bila ubaguzi wowote.

Kufikiri kuiua CDM kwa sasa ni ndoto tena ya mchana kwa sababu:
1 . Chadema ina mizizi ndani ya usalama
2. Chadema ina mizizi ndani ya Serikali na idara zake
3. CDM ina mizizi ndani ya Bunge

Na ndiyo maana kila kitu kinachopangwa kibaya juu yake CDM inakidaka kabla hakijafanya madhara.
 
Hahaa ati chadema hakina wenyewe inawezekana ni mgeni katika siasa za tz au mahaba yamekuzidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana yake ni mwana CCM kupita hao wana CCM ujao wajua
Rekebisha kichwa cha habari, kimahesabu hakuna asilimia zaidi ya Mia moja. Aidha hiyo ni probability ya kuwa ikidhihirika kuwa si mwanachama wa CCM ni 0 asilimia na ikidhihirika kuwa ni mwnachama wa CCM ni asilimia 100. Hivyo ukisema ni asilimia 100 mwanachama wa CCM basi hiyo ni statement wala si maoteo probably
 
Amina mkuu maana mungu siyo Ndugaye
Chadema ni chama makini sana mbali na kuwindwa kuuwawa na kupotezwa kwa Viongozi wake lakini mapambano bado yanaendelea

Vigogo na makada wa ccm na wakuu wa mikoa pamoja na Policcm hawapati usingizi bila ya kubugia vidonge vya presha

Ee Mungu ibariki Chadema no hate no fear

In God we Trust
 
Back
Top Bottom