James Mbatia: Mageuzi ya kisiasa Tanzania yalianza na NCCR

James Mbatia: Mageuzi ya kisiasa Tanzania yalianza na NCCR

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia, ameibua mjadala mzito kuhusu historia ya mageuzi ya kisiasa nchini Tanzania, akisisitiza kuwa chama hicho ndicho kilichokuwa chimbuko la mfumo wa vyama vingi.

Akizungumza na mtangazaji Wilberforce Ngoto katika kipindi cha Maswali na Majibu kinachorushwa na Jambo TV, Mbatia amesema NCCR Mageuzi ndicho chama kilichoasisi mabadiliko hayo makubwa kati ya mwaka 1990 na 1991.

“NCCR Mageuzi ya mwaka 1995 ilikuwa NCCR Mageuzi kwelikweli, na ilitikisa nchi hii kweli kweli… Wabunge wengi wa kwanza waliopata nafasi kupitia mfumo wa vyama vingi walitoka NCCR Mageuzi,” amesema Mbatia.

 
Hiyo siyo sifa ni tatizo. Hilo kindi lilikuwa la system, hakikuwa chama halisi cha upinzani.
 
Back
Top Bottom