Wakuu, Politicians ni watu wa maneno mengi.
Kwa waliomsikiliza Mbatia kwenye kipindi cha Dakika 45, jana atanielewa zaidi.
Mbatia alizungumza mambo mengi sana kuhusu uchumi as long alikuwa anasimama kama Waziri Kivuli wa Fedha..
Kwanza alianza kusema Tanzania ni nchi ya pili Duniani kwa kuwa na vivutio vingi vya Utalii kitu ambacho si cha kweli..
Kwa Africa tu, Tanzania inashika nafasi ya Kumi kutembelewa na watalii kwa takwimu za 2013 kutoka (UNWTO) United Nations World Tourism Organization..
Kama sisi ni wa pili Australia na Switzerland ni za ngapi?
Hapa lazima tufikirie nje ya box..
Mbatia aliongea Uongo mwingine aliposema
Uingereza ilihama kutoka kwenye Ukabaila kwenda kwenye Ubepari (Feudalism to Capitalism) mwaka 1948...!!
What is this? Anatofauti gani na Mulugo aliyesema Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili Visiwa vya Zimbabwe na Pemba?
Wanasiasa lazma wawe makini hasa wanapo Ongea kwenye Vyombo vya habari ambapo Watu wanafuatilia,
Nadhani umepata dose ya kutosha mimi sina cha kuongezea bali kukushauri kuwa no research no right to speak!Kujitangaza ni muhimu sana mkuu!
Ila kutia nyongeza nyingi haina maana..
Unaamini kuwa Tanzania ni nchi ya Pili kwa kuwa na Vivutio vingi Duniani?
au nawewe ni wakufuata mkumbo tu ?
Asante mkuu kwa kuona kitu, ila katika maelezo yangu ya awali nimesema lazima tufikirie kidogo nje ya box..
Jaribu kuipitia jiografia ya Dunia tuliyomo halafu pima tu,
Kama Mbatia ni kama Mulugo aliysema tanzania ni Tanganyika plus Zambia, basi wewe ni sawa na Mheshimiwa Ja Pipo aliyesema kwanye kampeni zake kwamba akichaguliwa mbunge, atawajengea wanafunzi "dictionary za kuigwa" akimaanisha maabara.
Mbatia amesema ya pili kwa vivutio wewe unasema ya kumi kutembelewa. Huoni kwamba kwa hapo tu umeshamuunga mkono Mbatia? Kwamba kuna under utilization ya resources na opportunities? Kwamba kwa vivutio hivi, kama kungefanyika jitihada katika nia na weledi ingeliweaza kuwa wa kwanza kutembelewa?
Ninaona tofauti kubwa sana kati ya elimu ya Mbatia na ya kwako ambayo umekariri habari za kufikiria nje ya sanduku wakati hata application yake huijui. wewe ndiye ulitakiwa kuona nje ya sanduku kabla hujajichora hapa kwamba wwe ni product ya Udom, big results sasa sasa.!.
Tatu jifunze kuwaza upeo wako kabla hujatukana watu kwa sababu unaweza kupata aibu kubwa kama hii uliyoipata hapa kwamba wewe ndiye mburura haswa!.
suala sio watalii ni watalii wa aina gani? hatuhitaji watalii kama wa mombasa.
Mbatia Follower...
So ni kweli Uingereza ilihama Kutoka kwenye Ukabaila kwenda kwenye Ubepari 1948?
Unaamini kuwa Tanzania ni nchi ya Pili kwa kuwa na Vivutio vingi Duniani?
au nawewe ni wakufuata mkumbo tu ?
Yeye anaongelea vivutio wewe unaongelea kutembelewa.
Hebu weka sawa hapo.
Hata hivyo, ukishakuwa UKAWA akili zako haziwezi kuwa sawa. Kutaka kuhatarisha amani ya nchi iliyopiganiwa kwa miaka mingi ni laana kubwa.