James Kisaka Hatunaye

James Kisaka Hatunaye

Poleni sana jamani, kifo chake kimenishtua sana, kwani baada ya kusoma siku chache zilizopita kuhusu kusumbuliwa kwake na macho sikutegemea kabisa afariki siku chache baadaye, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

thanx mkuu
 
Nawapa pole wote kuanzia tuliokuwa tukiichezea Oysterbay star pamoja naye miaka ya 76 kiwanja kikiwa siku hizi coco beach. Wapinzani wetu Bongoyo na Msasani.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana litukuzwe ktk kipindi hiki kwa familia.
 
Pole wafiwa wote R.I.P Kisaka Mungu ailaze roho yako mahali pema Amina
 
Back
Top Bottom