Huyu mjuba pamoja na kuandika vitabu vyke kwenye maudhui ya ki marekani yeye mwenyewe alikuwa muingereza na hajawahi kuishi marekani,alipita tu kwa ndege.
Nimesoma vitabu vyake vingi,lakini kwangu mi 'Mallory' naona mkwaju wa nguvu.
Nahisi bado nnavyo baadhi ya vitabu vyake kwenye ma boksi,siku nikiwa na safari ya bongo ntavinadi kwenye huu uzi kwa wanaovitaka(bure).